Umegeuka jaji wa kujaji mioyo ya wanadamu wenzio!?
Shetani simtambui wala mungu simtambui!
Sasa sijui unaniweka wapi?
Maana si-subscribe to any of those nonsense!
Nani kakwambia nimesema ajiue?...
Ushauri kapewa GLOOMY, kuvimba unavimba wewe... Wapi na wapi... Watu mnapenda sana ligi. Basi umeshinda. Kwa taarifa yako mimi ni daktari. Mi ni tabibu tu mponyaji ni Mungu. Kama sperm count ya mtu ni 0 unataka mimi daktari nifanye nini sasa? Mungu ndiye anaweza mwanadamu anaposhindwa.
Daktari hujui kila kitu!
Kua daktari sio kwamba una majawabu ya kila ugonjwa!
Unajua part ndogo tu compared to the grand scheme of things,hivyo relax!
Hujasaidia lolote!
Heri hata mimi nimemshauri kama ana hela walao akaulizie matibabu kwa wanaoelewa Germany au India na sio wewe usiejua lolote!
Plus,Yesu hajawahi ponya mtu au kufanya lolote,maana huwezi nipa quantifiable empirical evidence!
Hivyo tuseme ni nonsense!
Pia ni kweli ushauri ulikua directed kwa Gloomy ila mimi nilitoa point of information kua kumuachia huyo Yesu ambae hayupo ni stupidity na sababu nikatoa!
Kingine ni kwamba sio utakachosema hakiwezi pingwa!
Ndio maana ya mjadala!
Mambo vp Mkuu?, chek ur PM nlikutxt kitambo kidogo sikupata replyUlipua unapiga nyeto sana before
Ushauri wako hautamsaidia kupata mtoto.sorry kama nimekukwaza mkuu
Wewe ndio mjinga, tangu lini Yesu ni dini.Jesus???
Kua serious mkuu,hebu mpe ushauri practical bwana!
Jesus unamjua wewe,unadhani dunia nzima by default know who the fvck is Jesus?
Mtu unapoingiza dini kwenye mambo serious ya Kisayansi ndio ninaposhangaa sana!
Dini is for stupids!
Hebu mpe uelekezo wa kitabibu acha hizo za alinacha!
Aya yako ya kwanza na ya pili kutoka mwisho imenifanya nikusamehe hata uliyoandika mwanzoni.Mkuu
Ni too frustrating!
Mtu anakwambia jibu ni “Jesus”!
Jesus halafu...?
Unamuongezea frustrations huyu mtu!
Utawezakuta anatenda mema tu,na huko kanisani kwenu anaenda tu,anatimiza kila kitu,yeye anasema jibu ni “Jesus” !
Nifanye nini na huyo “Jesus” basi niondoe hili tatizo la sperm count?Hapo hana jibu zaidi!
Kama mtu ana ushauri wa kitabibu labda au mwingine ambao ni practical walao asaidie jamani!
Hii sijui Jesus,sijui Krishna,sijui Mohamed,sijui mganga,etc nikuzenguana tu jamani!
I have two kids,the way ninavyowapenda,I cant imagine nisingekua nao,sasa hebu fikiria mwenzako ndio hana kabisa,na vipimo vinasema hawezi kuja kupata kabisa!
Thats too painful aisee...I picture myself in that zone,I would be dead!
Really painful kwakweli!
Aya yako ya kwanza na ya pili kutoka mwisho imenifanya nikusamehe hata uliyoandika mwanzoni.
You are too weak and delicate...and limited in information, yet you think knowing Jesus its a bulshit.
Respect the opinion of others, kama ameshauriwa amfuate Yesu basi shut your mouth.
Wewe ndio mjinga, tangu lini Yesu ni dini.