Jesusfreak08
JF-Expert Member
- Jul 20, 2019
- 822
- 1,820
Pole sana mkuu lakini ninkwambie kitu MUNGU ndiye aliyeumba kila kitu kwenye maisha yako kwaiyo sasa basi mrudie yule aliyekuumba kwa ukamilifu muombe atakurudishia tena imara kuliko hata za mwanzo hayo mambo ya kawaida sana kwa MUNGU
Ushauri wangu rudi kwa MUNGU maana hayupo atakeweza kukusaidia
Ushauri wangu rudi kwa MUNGU maana hayupo atakeweza kukusaidia