Lady of Destiny1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 588
- 869
Hayo Ni ya Dokta ,ingia magotini
YASIYOWEZEKANA KWA MWANADAMU KWA MUNGU YANAWEZEKANA
YASIYOWEZEKANA KWA MWANADAMU KWA MUNGU YANAWEZEKANA
Jamani acheni mambo yenu ya kusadikika kwenye mambo ya Msingi,kama Huyo Mungu anayeumba watu na kuwafahamu kabla hawajazaliwa aliendaje kumuumba jamaa na akamfanye awe na low sperm count.Hayo uliopewa ni majibu ya wanadamu siyo majibu ya Mungu aliyesema zaeni mkaijaze dunia, watafute watumishi wa Mungu wa kweli wakuombea pamoja na kuamini moyoni mwako kuwa Mungu anaweza,utafyatua watoto mpaka Magufuli atakushangaa.
Unauhakika gani kuwa Mungu ndie kamuumba awe hivyo?, ni kweli Mungu anapenda sifa.Jamani acheni mambo yenu ya kusadikika kwenye mambo ya Msingi,kama Huyo Mungu anayeumba watu na kuwafahamu kabla hawajazaliwa aliendaje kumuumba jamaa na akamfanye awe na low sperm count.Kwa hiyo Mungu hiyo anajua fika alimuumba hiyo jamaa akiwa na tatizo anasubiri hiyo jamaa amsujudie ndio amuondolee hill tatizo-sasa huyo atakuwa Mungu mpenda sifa
Life style Ni kawaida tu ya kitanzania, japo stress zipo kutokana na maisha yanavyoenda na stmes mazingira ya kazi.Lakini ulevi sio Sana( wine moja kwa mwezi),sigara hata Moshi tu Sina urafiki nao .Tuambie ilikuaje had umekua hvyo,je ni life style gan unaish labda imepelekea ukapata tatzo hlo?
Na sie tujifunze..je
1.ulishawai umwa magonjwa ya zinaa kitambo
2.je uliwai umwa magonjwa ya kutumia dawa mda mref
3.wewe ni mwanachama wa chaputa
4.ushawai kua exposed na mionzi yoyote
Awali ya yote,nawasalimu.
Nimeleta hii maada kwenu Ni baada ya maumivu makali Moyo wangu umeyabeba,na thamani ya maisha siioni Tena na sioni haja ya kupalangana na maisha kabisa.
Nimeoa miaka 2 iliyopita,sijabahatika kupata mtoto,mwaka Jana nilifunga Safari kwenda Bugando kufanya SPERMS ANALYSIS, majibu yakaja kwamba nilikuwa na low sperm count.
Juzi nimerudi Tena Bugando kupima kipimo kile kile jibu nimeambiwa No sperm count (0)
Niliporudi kwa Dr akashauri nikubaliane na Hali kwani sitoweza kupata mtoto kabisa.
Najaribu kuupokea ushauri lakini naumia na sijui Nini nifanye.
Ombi langu kwenu wa jamii hii
1. Kama Kuna Dr mtaalamu naomba mawasiliano au connection naye tafadhali
2. Kama Kuna njia mbadala ya kutatua hili tatizo,na Ni uhakika niko tayali kuifuata
N.b. nimelileta kwenu kupunguza maumivu hasa kwa kunifariji,kunishauri na ikiwezekana kunisaidia.
Pole sana kaka. Kwanza kabisa nakushauri.
1. Mkabidhi yesu kristo maisha yako na utubu dhambi zote katika maisha yako.
2. Ishi katika kumtegemea yeye na jinyenyekeze kwake.
3. Uwe ni mtu wa toba na maombi na jenga imani kubwa kwake...
Hapa kwa lishe ya Dr Boaz Mkumbo hata mimi naunga mkono. Ajaribu kumfatilia ili ajifunze kubalance vyakula ikiwezekana anunuue kabisa kitabu au kujiunga na program zake.Mkuu Mungu yupo na anaweza mwombe kwa imani atakusaidia, epuka manabii na waombaji piga magoti usiku, asbh, mchana na kila unapokuwa na muda atakusikia na kukusaidia upesi na kukuza imani yako soma biblia kila mara itakusaidia sana kumsogelea Mungu...
Acha kabisa kutumia kileo, kula vyakula vinavyoongeza sperm count kama wadau walivyokushauri.Life style Ni kawaida tu ya kitanzania, japo stress zipo kutokana na maisha yanavyoenda na stmes mazingira ya kazi.Lakini ulevi sio Sana( wine moja kwa mwezi),sigara hata Moshi tu Sina urafiki nao .
Nimeisoma na nimeilewa ndugu,nitaifutilia, Asante Sana
Kaa ongea na wife mtafute solution kwa pamoja ikiwezekana muadopt tu.
Leo hujatoa jibu la kidoctereti kabisa umetoa. La imaniMatthew 9:27-31 Yesu alipokuwa anapita Yeriko ombaomba kipofu alimuita Yesu mtoto wa Daudi usinipite nisamehe.
Yesu alimwambia kwakuwa umeniamini imani yako inekuponya.
Madaktari watasema lakini Yesu ndiye Daktari mkuu.
Sali na kuomba kwa Yesu hakuna kinachoshindikana.
Duuh makkavu liveJesus???
Kua serious mkuu,hebu mpe ushauri practical bwana!
Jesus unamjua wewe,unadhani dunia nzima by default know who the fvck is Jesus?
Mtu unapoingiza dini kwenye mambo serious ya Kisayansi ndio ninaposhangaa sana!
Dini is for stupids!
Hebu mpe uelekezo wa kitabibu acha hizo za alinacha!
AmenNajua inaumiza sana lakini yote mwachie Mungu. Jikabidhi kwake na mwombe. Utashangaa siku moja utakapopata mtoto. Kwake vipofu wanaona, viziwi wanasikia, walio tasa pia wanazaa.
UHURU Hosp...jaribu na hosp nyngn mkuu usiamini sana majibu ya hosp moja.Kwa Sasa ninapoandika huu Uzi Niko MWANZA,nimetoka UHURU HOSPITAL ndipo nilipoambiwa hayo majibu