Wyatt Mathewson
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 10,771
- 25,419
Duuh makkavu live
Mkuu
Ni too frustrating!
Mtu anakwambia jibu ni “Jesus”!
Jesus halafu...?
Unamuongezea frustrations huyu mtu!
Utawezakuta anatenda mema tu,na huko kanisani kwenu anaenda tu,anatimiza kila kitu,yeye anasema jibu ni “Jesus” !
Nifanye nini na huyo “Jesus” basi niondoe hili tatizo la sperm count?Hapo hana jibu zaidi!
Kama mtu ana ushauri wa kitabibu labda au mwingine ambao ni practical walao asaidie jamani!
Hii sijui Jesus,sijui Krishna,sijui Mohamed,sijui mganga,etc nikuzenguana tu jamani!
I have two kids,the way ninavyowapenda,I cant imagine nisingekua nao,sasa hebu fikiria mwenzako ndio hana kabisa,na vipimo vinasema hawezi kuja kupata kabisa!
Thats too painful aisee...I picture myself in that zone,I would be dead!
Really painful kwakweli!