Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

Vipimo vinaonesha sitoweza kuzaa, kama kuna msaada tafadhali

Hii itakuwa last option ndugu,njia zote zikishindikana ndo nitafanya hivyo,nako nimeambiwa miliion 10, hivyo inatakiwa kujipanga Sana
Ndugu yangu pole sana kwa unayoyapitia,Pole, hakika,Mungu anasababu zake kukunyima watoto, usilazimishe kwa njia hizo.Mshukuru mungu kwa hilo.Kila jambo lina kusudi lake.If you believe in God.Ishi na mkeo kwa amani achana na biashara ya kupandikiza.Mungu atakapoona una stahili kupata watoto basi atakujaalia!

Katika uislamu tunasema,ukitaka kujua Mungu anakupenda tizama uliowazidi usitizame waliokuzidi.Siyajui maisha yako lakini jitathmini na uliowazidi.Wazungu wanasema Comparison is the thief of Joy ila mimi nasema ikukubidi kujilinganisha jilanganishe na uliowazidi.

Thank God una pumzi ambazo wengune wamezikosa jana,leo na hata kesho watazikosa Usilazimishe vitu.
 
Mimi siyo daktarin wala sina ujuzi kwenye fani hiyo , lakini kwa uzoefu wangu iwapo una low sperm count ni kwamba zinaweza kuboreshwa kwa program madhubuti ya lishe , sasa sijui kwa sababu gani mwanzoni ilikuwa low ana baadaye zikawa zero.

Anyway jitahidi ule vyakula vyenye madini ya zinc kwa wingi ama utumie zinc suppliments, karanga , korosho, vitamin D, nk . Tafuta doctor mwingine upate 2nd opinion , kuna mfanyakazi mwenzangu alikaa 10 years kwa tatizo hilo tena bahati mbaya alioa mwenye same problem , walishauriwa vizuri na sasa wana 2 kids
 
Ndugu yangu pole sana kwa unayoyapitia,Pole, hakika,Mungu anasababu zake kukunyima watoto,usilazimishe kwa njia hizo.Mshukuru mungu kwa hilo.Kila jambo lina kusudi lake.If you believe in God.Ishi na mkeo kwa amani achana na biashara ya kupandikiza.Mungu atakapoona una stahili kupata watoto basi atakujaalia!Katika uislamu tunasema,ukitaka kujua Mungu anakupenda tizama uliowazidi usitizame waliokuzidi.Siyajui maisha yako lakini jitathmini na uliowazidi.Wazungu wanasema Comparison is the thief of Joy ila mimi nasema ikukubidi kujilinganisha jilanganishe na uliowazidi.Thank God una pumzi ambazo wengune wamezikosa jana,leo na hata kesho watazikosa Usilazimishe vitu.
Nashukuru kwa ushauri nzuri ndugu
 
Pole sana Mr, kwa changamoto hiyo ya muda mrefu iliyokuondolea matumaini yako na amani katika familia. Nikutoe hofu sasa na kukuhakikisha kuwa changamoto hiyo inatibika na kurudi katika hali yako ya kawaida, wengi wao wamefanikiwa kupitia njia salama na yenye gharama nafuu, zaidi sana kwa usalama wa uzazi wako.
Tuwasiliane kwa ushauri na matibabu zaidi.
0784969283
 
Pole sana chief.. Mola atakusaidia.. naamin kwake hakuna linaloshindikana kwani ndo mpangaji wa kila kitu
 
Ndiyo hiyo pia imenisukuma kuja kwenu mdau,wapi inatolewa hii huduma? Maana Dr aliyenihudumia kasema mhimbili lakini hakuwa more openly
Soma juu ya IVF Procedure, utapata mwanga kuelekea suluhisho, kuna vitu kama PESA,TESA,......mbegu zitavunwa kutoka kwenye kiwanda chake na kuchakatwa kisha kurutubisha yai la mama nalo likiwa nje na baada ya siku kadhaa mimba itapandikizwa kwa mama.
 
Knowing Jesus makes you not weak and delicate?

All christians in the world are strong!?

Unatumia stupid lenses kuangalia hili tatizo hivyo argument yako ipo severely truncated!

Unanisamehe wewe nani?!

Duniani huko Jamii ambazo hazijawahi msikia Jesus ni takataka jamii ya kikristo ndio jamii bora hapa duniani?

Wakristo mnatoa wapi hizi audacities ku-criminalize other civilizations ukitumia chako kama kioo?Fvck you!

Opinion yako ni yako,yangu ni yangu!Respect ni both ways!

Jesus ni bullshit,kwanza where the fvck is he?Tell him to come here and defend himself!

Wewe una uhuru na mimi nina uhuru wa kusema chochote sometimes even ku-provoke each other!

Go on,Jesus ni bwana wako wewe na wenzako,sio wa wote,namtukana,umekasirika kashitaki kwake kama vipi!
You are just a stupid African kid, as always.
 
Pole sana mkuu GLOOMY kwa tatizo hilo.
Ushauri wangu mimi ni huu hapa...
Kwanza, nashauri upate a second opinion kwa kurudia vipimo vya sperm analysis kwenye hospitali nyingine. Na kwa hili naomba ujipange uende hospitali kubwa, kwa maana ya Hospitali yenye hadhi kama ya Bugando, au KCMC; Au Muhimbili kabisa.

Na unapoenda, uende specifically kabisa uulizie clinic ya UROLOGY, na uonane na UROLOGIST (Daktari bingwa wa Magonjwa ya mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi wa mwanaume).

Ukisharudia kipimo hicho cha sperm analysis, kama matokeo kweli yatakua una ZERO sperm count; Then naamini kabisa kwamba mtaalam huyo atakuongoza katika kufanya vipimo kadhaa, ikiwa ni pamoja na Hormone Analysis, ultra sound ya makende, na vipimo vingine ili kuweza kuhakikisha kwamba kisababishi cha tatizo lako kinapatikana.... Kwa sababu tatizo hilo lina visababishi vingi sana; Na ili kujua cha kufanya ni muhimu kuweza kujua kisababishi cha hilo tatizo.

Pia, baada ya kujua kiini hasa cha tatizo ni rahisi pia hata kutafuta tiba mbadala kwa tatizo lako.

Pole sana mkuu.
 
Pole sana kaka. Kwanza kabisa nakushauri.
1. Mkabidhi yesu kristo maisha yako na utubu dhambi zote katika maisha yako.
2. Ishi katika kumtegemea yeye na jinyenyekeze kwake.
3. Uwe ni mtu wa toba na maombi na jenga imani kubwa kwake...
Ni lini ulipata maradhi ukaacha kutafuta au kutumia tiba y maradhi husika instead ukatibiwa na huyo mshkaj wako Yesu?

Mwenzio ana matatizo we unaleta story za Yesu, amekusaidia kuutibu ugonjwa gan huyo jamaa mbna watu wanakufa kila sku na wengine makanisan kwa magonjwa mbalimbali

Shida ni kwmba mnamtukuza sana binadamu mwenzenu huyo kuliko hata Mungu mwenyewe kias kwmba mpaka kuna matahira wanampa Yesu cheo cha Umungu

Mpe jamaa ushauri wa kitabibu km huna ushauri piga kimpya wenye nao watachangia usituletee story za huyo jamaa yenu Yesu hapa
 
Kama una low sperm count inawezekana usipate mtoto kwa njia ya kujamiana. Unaweza ukajaribu kupitia IVF, ambapo wanaweza kuchukua mbegu zako wakapandikiza kwa mke wako, na akazaa.

Usikate tamaa na umefungua account kwa jina baya kabisa - gloomy.
 
Pole sana mkuu GLOOMY kwa tatizo hilo.
Ushauri wangu mimi ni huu hapa...
Kwanza, nashauri upate a second opinion kwa kurudia vipimo vya sperm analysis kwenye hospitali nyingine. Na kwa hili naomba ujipange uende hospitali kubwa, kwa maana ya Hospitali yenye hadhi kama ya Bugando, au KCMC; Au Muhimbili kabisa...

Ushauri murua huu. Asante daktari.
 
NAKUSHAURI ; jiandae kupigwa humu!! tena utapigwa ndefu hutapata mtoto labda wakupe zinduna!! NB; atakae kupa ushauri wa kitabibu (doctors) ufanyie kazi!! mambo ya kidunia usiyafate mwisho wake ni mbayaaa! nakuombea kwa allah atimize haja ya moyo wako!!
 
Kuna sindano maalumu wanachoma hapo kwenye korodani na kuzifuta hizo sperms ,halafu wanaziweka kwenye chombo maalumu ,wanavuna na yai la mwanamke .Baada ya siku kadhaa wanaziweka pamoja halafu halafu hicho kiumbe kinarudishwa kwenye mji wa mimba wa mwanamke,
sperm wanazitoaje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom