Vipi Unatongoza

Masanilo

Masanilo

Platinum Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,296
Points
1,250
Masanilo

Masanilo

Platinum Member
Joined Oct 2, 2007
22,296 1,250
tehe tehe tehe mbinu zangu nikiziweka hapa nitaongeza ushindani wa kupata totozi mtaani...
Unaogopa wakazi wa kule? hahahaha kuna mmoja ni wa maslahi ya taifa aka sauti....
 
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
3,589
Points
0
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
3,589 0
tehe tehe tehe mbinu zangu nikiziweka hapa nitaongeza ushindani wa kupata totozi mtaani...
Mzee nasikia uwa unaandika number ya simu kwenye vocha alafu unampa demu unamwambia nipigie.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
97,582
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
97,582 2,000
tehe tehe tehe mbinu zangu nikiziweka hapa nitaongeza ushindani wa kupata totozi mtaani...
LOL!...hutaki competition siyo? :) lakini mbona dada zetu wako wengi sana? Wawekee jamaa ili na wao wajue angalau baadhi ya mbinu zako ;)
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
97,582
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
97,582 2,000
Lakini msisahau siku hizi kuna akina dada ambao nao hawako nyuma katika mambo haya nao hutongoza pia, lakini wanaume wengi wakitongozwa huogopa na kuanza kujiuliza maswali mengi ambayo hawapati majibu kama vile, "huyu kishatongoza wangapi" na mengineyo na wengi huishia kuingia mitini kwa woga uliowajaa :)
 
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
2,580
Points
1,225
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2009
2,580 1,225

Mh! hii kazi sasa, kwa utamaduni wa kwetu kweli msichana akitongoza mwanaume anaonekana kama hajatulia. Lkn kwa nchi za USA na ulaya hili ni la kawaida binti kutongoza mwanaume.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
97,582
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
97,582 2,000
Mh! hii kazi sasa, kwa utamaduni wa kwetu kweli msichana akitongoza mwanaume anaonekana kama hajatulia. Lkn kwa nchi za USA na ulaya hili ni la kawaida binti kutongoza mwanaume.
Wapo wengi tu siku hizi, kwanini aumie roho naye kapewa uwezo wa kuzungumza na kueleza shida yake ili aeleweke!? :) lakini njemba bado hazijaikubali hali hii ;)
 
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
3,589
Points
0
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
3,589 0
Mh! hii kazi sasa, kwa utamaduni wa kwetu kweli msichana akitongoza mwanaume anaonekana kama hajatulia. Lkn kwa nchi za USA na ulaya hili ni la kawaida binti kutongoza mwanaume.
Bongonian chicks siku hizi wakikumind wanakufuata na kuanzisha small talk na ukiwa reluctant anakuuliza unataka nifanye nini uamini(from person experience). Ila ni poa sana demu akianza kukutongoza anakua amekupunguzia kazi kubwa sana, maana kuna akina dada wengin hmmm ukimsalimia tuu kosa anakunja uso kama amekula limao.
 
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Points
1,225
Steve Dii

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 1,225
Wapo wengi tu siku hizi, kwanini aumie roho naye kapewa uwezo wa kuzungumza na kueleza shida yake ili aeleweke!? :) lakini njemba bado hazijaikubali hali hii ;)
Mh! hii kazi sasa, kwa utamaduni wa kwetu kweli msichana akitongoza mwanaume anaonekana kama hajatulia. Lkn kwa nchi za USA na ulaya hili ni la kawaida binti kutongoza mwanaume.
Bongonian chicks siku hizi wakikumind wanakufuata na kuanzisha small talk na ukiwa reluctant anakuuliza unataka nifanye nini uamini(from person experience). Ila ni poa sana demu akianza kukutongoza anakua amekupunguzia kazi kubwa sana, maana kuna akina dada wengin hmmm ukimsalimia tuu kosa anakunja uso kama amekula limao.
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=rJiLcNQdye4]YouTube - ALICIA KEYS - YOU DON´T KNOW MY NAME[/ame]​
 
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
2,580
Points
1,225
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2009
2,580 1,225
wakaka wanaotongozwa na wanawake nao huwa wanajisikia sana, kwa ufupi wanaringa sana. enzi hizo nilivyokuwa seco, kuna baadhi ya wadada walikuwa wanatongoza wanaume, basi wale wanaume loh! walikuwa wanajiona keki kweli kweli. Kumbe hii tabia ya kujisikia au kuringa hata wakaka nao wanayo.
 
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2009
Messages
2,580
Points
1,225
Pretty

Pretty

JF-Expert Member
Joined Mar 19, 2009
2,580 1,225
Meeting and getting to know women can be a tricky thing for men. Knowing what they're not looking for can keep you ahead of the game. Women want a masculine man, not to be confused with a cocky jerk. In this article I will try to shed some light on this confusing subject.
Why do some guys seem to have all the luck and others struggle to gain an inch. It's all about your approach and knowing what women want (or don't want). Women need to sense a man with some sort of passion. Passions are a great thing to talk about. Think about it, how confident do you feel when you're talking about something you truly care about. Women can sense that energy and feed off of it. Try it next time your with a female. I bet it goes over much better than any of the small talk you are used to.
Many men try the nice guy approach with women. This personality is adopted when you hope to prove how good you could be for a woman. This is not what women want. Other guys try the opposite end of the spectrum (being a jerk). This is not what women want either. Women want to see you shine forth your best qualities. Establish in a womans mind that you're dominant, powerful, and secure in your values and she will respect that. You will come of as genuine and not fake.
Women want a man with a strong character and passion! There is some great information out there on attracting the perfect mate. These are a few pointers that should help you get started. Be that man you envy with all the hot women by knowing what they don't want.
 
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
83,491
Points
2,000
Nyani Ngabu

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
83,491 2,000
...mmmh, Pretty, i think you need to update your Kiswahili.... "seko" na "kujiona keki" hiki Kiswahili cha mid 80's Cha-Urembo!!
Toa basi pendekezo la maneno ya kileo (2000's) ambayo angetumia badala ya hayo ya ki 80's...
 
Sonara

Sonara

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2008
Messages
729
Points
195
Sonara

Sonara

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2008
729 195
Meeting and getting to know women can be a tricky thing for men. Knowing what they're not looking for can keep you ahead of the game. Women want a masculine man, not to be confused with a cocky jerk. In this article I will try to shed some light on this confusing subject.
Why do some guys seem to have all the luck and others struggle to gain an inch. It's all about your approach and knowing what women want (or don't want). Women need to sense a man with some sort of passion. Passions are a great thing to talk about. Think about it, how confident do you feel when you're talking about something you truly care about. Women can sense that energy and feed off of it. Try it next time your with a female. I bet it goes over much better than any of the small talk you are used to.
Many men try the nice guy approach with women. This personality is adopted when you hope to prove how good you could be for a woman. This is not what women want. Other guys try the opposite end of the spectrum (being a jerk). This is not what women want either. Women want to see you shine forth your best qualities. Establish in a womans mind that you're dominant, powerful, and secure in your values and she will respect that. You will come of as genuine and not fake.
Women want a man with a strong character and passion! There is some great information out there on attracting the perfect mate. These are a few pointers that should help you get started. Be that man you envy with all the hot women by knowing what they don't want.
Usisahau Tunaishi Tanzania na maisha yetu na tamaduni zetu ni za kibantu .
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,548
Points
2,000
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,548 2,000
Wanyamwezi/Wasukuma " Nalikuchola mayu, kiyumbo mayu..."
Wamaasai " ... mama yeyooo, naomba ile nameza mwenzake...."
Wachaga/Watusi/Wa-Ethipia/etc "..... Chagua bega..."
Wasukuma ..." Chagulaga mwana mayu...." (Hapa ni ngomani kama wataka kuowa).

Mwiba, kwani Zenji kwenye ngoma mnafanyaje? Maana nakumbuka hata Rashidi akiwa amevalia 'vya mtungini' kwenye kitabu cha Kuli, aliopoa mtoto siku ya ngoma na yule mtoto akaja kuwa mama watoto wake. Ila kwenye Msewe sijui utaopoa vipi maana macho yako kwenye lile gongo lisija likakufyeka mguu. Ila totoz kama zinarukaruka basi mswano sanaa maan unajua toto za mwambao na wowowo.....
 
W

WABONGO

Member
Joined
Apr 1, 2009
Messages
8
Points
0
W

WABONGO

Member
Joined Apr 1, 2009
8 0
hmmm, wana JF naona mnamzinguwa MWIBA, ama wote mmeshiba mapilau, lakini tena MWIBA anaweza kuwa anafaida kichwani na anataka kuzinguwa watu, kama ndivyo ngoma draw.
 
M

mkurugenzi1

Senior Member
Joined
Mar 22, 2009
Messages
123
Points
195
M

mkurugenzi1

Senior Member
Joined Mar 22, 2009
123 195
wanawake wasiku zile/hizi wanakamsemo chao kana sema hivi "hela babu".
 
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2007
Messages
12,745
Points
1,500
Mbu

Mbu

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2007
12,745 1,500
...yataje basi ...:)
kuna vitu wanaume inabidi mjue. Sio kujiongelea tu.
-make eye contact ( hii itamfanya binti aone upo confident man)
-slight smile, angalau basi uweke tabasamu angalau uonekane upo serious na unampenda kweli.
-Positive body language ( don't be nervous)
-muulize maswali maswali ( what u don't know yet) like anapenda nn, hapendi nn, anapenda mume wa namna gani.
hizi ni baadhi ya mbinu lkn zipo nyingi tu. ILa usijaribu kuweka uongo. manake wanaume kwa kuongopa hamjambo.
...'mrembo' anapopakwa mafuta kwa mgongo wa chupa (Compliments) lazima uongo uchanganywe na ukweli...:)
 
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,613
Points
1,250
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,613 1,250
Kwani wewe hujawahi kutongozwa?
Sasa nauliza na wewe unauliza huoni kama majwabu yanaweza kugongana ,mi nimetoka huko kwa vishindo unakuja wewe unaniharibia mudi,sijawahi hata moja ,ndio nikaomba msaada wa maneno ya kuanzia ,ila nimeokoteza na moja tayari nimeanza kulifanyia mazoezi ,ile kumkazia macho demu ,na hapo imeelezwa kwamba nisibabaike kutazama pembeni ,nimtolee mijicho kikwelikweli mpaka yeye awe wa mwanzo kutazama pembeni.Ila bado naona haya pengine nikimuuliza kipolepole yeye akajibu kwa sauti kubwa na ikawa ni fezeha ,maana hadi leo naona wanawake hawaaminiki anaweza akakupa neno mbele za watu ikabidi kubadilisha njia.
 
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2007
Messages
3,589
Points
0
Icadon

Icadon

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2007
3,589 0
Good guys finish last with their sets of rules, wewe Mwiba be yourself around her ila uwe na confidence.
 
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Messages
7,613
Points
1,250
Mwiba

Mwiba

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2007
7,613 1,250
Good guys finish last with their sets of rules, wewe Mwiba be yourself around her ila uwe na confidence.
Uwe na confidence kivipi wakati vipimo vyote vinaonyesha unaweza ukachezea msonyo wa nguvu utafikiri kaona shetwani. Msichana unamuuliza hali anruka kwa sauti unikome mwanawamwenzio ,kuna wengine washaenda kunisemea kwao na kufika hadi nyumbani kwa vishindo eti nawadoea. Muda ka miezi mitatu mtaani wakawa wananiita doezi ,yaani ilikuwa noma ile mbaya ,hivyo ndio nimeingia na kuja hapa kutafuta elimu ,wewe unaniambia uwe na confidence ,hiyo confidence ndio ninayoizinga.
 
Forum statistics

Threads 1,334,542
Members 512,047
Posts 32,479,743
Top