Vipi Unatongoza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi Unatongoza

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Apr 12, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ama kweli!
  JF inaweza kutoa hadi somo hili? I thought ni chemistry between 2 people!
  Ngoja tusikie wataalamu watasema nini.
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha Wataalamu wa kutongoza wa JF ;) Chemistry ni muhimu lakini kimwana hakivutiki na chemistry iliyopo kati yenu inabidi utembeze lugha, ulonge ili kimwana kikuelewe unasema nini. Ngoja tusubiri watalaamu katika nyanja hizi ;)
   
 4. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #4
  Apr 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  mambo ya " unayempenda hakupendi... usiyempenda anakuganda kama luba".... hapo sasa... kweli yahitaji mbinu za ziada hadi ndege aingie tunduni.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Apr 12, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,657
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Mwiba nani huyo anayekupa shida? Hebu mlengeshe kwangu aone....maana sumu nitakazotema atakuwa hana ujanja
   
 6. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #6
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mwambie I love you, can I kiss ur ass!
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Apr 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  thats too banale!
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Hmmm! Kwa lugha yetu ya Taifa sijui kama ataingia tunduni ukilonga namna hiyo ;), hata kwa lugha ya mama atatimua mbio kali sana na kukuachia vumbi ;)
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Apr 12, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,315
  Trophy Points: 280
  Mkabidhi key ya Mark II mpya, then huhitaji kuongea zaidi
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Hmmm! Je, kama huna uwezo huo ndiyo unamkabidhi nini!?
   
 11. Sonara

  Sonara JF-Expert Member

  #11
  Apr 12, 2009
  Joined: Oct 2, 2008
  Messages: 730
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  sasa hii ya mkununulia Beer msichana na kuomba muondoke wote inahisabika kuwa moja ya matongozaji ?
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Apr 12, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...'mwiba huo', ...inaonekana hata 'wataalamu' wenyewe midomo imejaa gundi! ...kutongoza mchezo?! :)
   
 13. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,804
  Likes Received: 6,315
  Trophy Points: 280
  BAK,

  Kama huna kitu ndo issue. Madem nowadays wameshtuka na si enzi zile za 47, enzi za I love you kuliko ninavyojipenda, sijui usiku silali, nakuota wewe, etc. Ni wizi mtupu sasa

  Ngoja tusubiri wataalamu wa fani hii walete nyimbo
   
 14. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hakuna "mtaalamu" hapa jamani eeeeh :) "walozoea vya kunyonga, vya kuchinja wataviweza wapi?!"

  mjibuni Ab-Tichaz naye hapa; https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/27105-dating-modern-woman.html
   
 15. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  sili silali kwa kukufikiri nakuota wewe usiku kucha ;) natafuta mganga wa kunitibu 'maradhi' hajapatikana. Hmmm! naona haya yatakuwa ni marazi na siyo 'maradhi' :)
   
 16. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #16
  Apr 12, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtaani na kazini simple (itakuchukua kama mwezi mmoja hivi kama hakuna chemistry)
  *Jitambulishe ili mfahamiane
  *Hakikisha mnaonana mara nyingi (unajidai accidendally kumbe ni mbinu zako)
  *Msemeshe kila mkionana na uwe unamsifia
  *Usichukulie mambo serious sana, inabidi ufanye jitihada kuwe kama na "kautani flani" kati yako na yeye
  *Kisha "unamtania" (unajidai utani, kumbe moyoni uko serious) unataka kumpeleka lunch, outing ama kitu kama hicho
  *Hapo mtakuwa kwenye kubadilishana namba za simu
  *Mpige message mara kwa mara, kama anajibu (angalia usitume message nyingi kama hajibu)
  *mpige vizawadi vya mara kwa mara - hata chewing gum au pipi! (Kutongoza sometimes inabidi ujifanye Mseng.e ili ufanikiwe). lol
  *Akikubali outing, una-introduce issue kuwa ulishakufa kwake bado kuoza tu
  *Endelea kuwa karibu naye na kumshawishi.
  *Outing ya pili mpitie kwako kabla hujamrudisha home kwake, jidai kuna kitu muhimu lazima u-drop au ufanye; akiingia ndani - usifanye kosa, mademu bongo sitaki nataka na first time inaweza ikawa hivyo, akigoma sana unaacha, hatari ni kwamba kama hajawa impressed na unapoishi na ukamkosakosa ndio imetoka, kwa hiyo juu yako hapo.
  *Etimated time kwa mambo yote haya, 1 month.
  *NB: Demu yeyote anachukulika (awe maskini, tajiri, mrembo, msomi, whatever), ni ku-persist tu mpaka a-give in.

  Kwenye party - ni kujitambulisha, kupiga stori kidogo na kujitahidi upate namba ya simu utaendelea baada ya hapo; otherwise demu awe mapepe na wewe ujidai pedejee.

  Club kabisaaa, ndio hakuna kingine zaidi ya hela yako ya vinywaji na kuonyesha upedejee!

  Nadhani umepata mwanga kidogo ... lol
   
 17. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #17
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Kama binti mnafanya naye kazi... ni rahisi sana.

  Unaweza kutumia mbinu hii kama wewe ni domo zege. Mwandikie official love letter kwa namna hii:  Hapa binti hata kama ni Katibu Muktasari wa Big Boss hapo kazini na ukizingatia kuwa bado mseja yaani signorina... Lazima hataendesha gari kwa gear nambari moja kwa 20 km... au atatafuta barabara yenye foleni ili apate kukusikiliza.

  Au bofya hapa:Mahusiano
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,918
  Likes Received: 83,438
  Trophy Points: 280
  Naomba ufafanuzi wa uliyoyaandika hapo juu. Unafanya nini ili uonekane baradhuli ashakum si matusi ms****
   
 19. N

  Nangetwa Senior Member

  #19
  Apr 12, 2009
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mambo ya mapenzi hayana formula na jinsi ya kumtongoza mtu inategemea mtu na mtu na jinsi unavyoanza na kuwa consistent na maneno yako. You need to take time to learn somebody, what does she like and dislike, what inspire her, etc. sio wanawake wote wanapenda kutongozewa katika candle light atmosphere na sio wote wanapenda kujishebedua (brag) kwa mwanaume. so u need to take time and strategize ur move. the key is be a bit honest of urself and consistent of words.
   
 20. Outlier

  Outlier JF-Expert Member

  #20
  Apr 12, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 325
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kumpelekea mtu pipi na chewing gum ndio use... wenyewe. lol..
   
Loading...