Nikudai kwani ulinikopesha?Zawadi nataka public mkuu, kwa pm usije ukanidai bure
Na ndiyo maana hukuwa...chezea Mungu weweaaahahhaaahaaaaa vip kuhusu ile laki tatu????????????????? mimi ngekuwa mwanaume daaaaa sijui yan
ni kweli mama
Halafu wewe ningekuwa bosi wako lazima ningekubadilisha nafasi uwe PS wangu, maana hufanyi kazi kutwa nzima unasikiliza umbea wa wenzako tu...
Ringieni ujana ndiyo wakati wenu huu, tutawapa hata uzeeni mtakapokuja omba hela ya ugoro....wanaume wabahili tutafute tu zetu mamii
niombee mchakatoo uwende poa pics wamekubali
Lazima uwe PS wangu usikie maneno yangu tu...hahahahah sasa mkuu ukifanya kazi kutwa mzima utaondoka na stress nyumbani,kazi na dawa sometime unapumzisha akili kidogo
Na ndiyo maana hukuwa...chezea Mungu wewe
wanaume wabahili tutafute tu zetu mamii
niombee mchakatoo uwende poa pics wamekubali
hongera mama jitahidi tu na uwe mwangalifu wasije wakakutafuna