laussane
JF-Expert Member
- Oct 8, 2009
- 255
- 132
Nipo ofisini,
Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya kwangu service 60,000 tu.
Sasa nimeamua kumpiga chini, jana nimemwambia naona tuvunje mahusiano yetu nitakupotezea muda naona hatufanani kifkira, kajibu noted vipi sasa kuhusu ile laki 3?
kwa style hii wanaume watatukimbia sana jamani wanawake wenzangu mapenzi kwanza pesa baadae.