Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Nipo ofisini,

Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya kwangu service 60,000 tu.

Sasa nimeamua kumpiga chini, jana nimemwambia naona tuvunje mahusiano yetu nitakupotezea muda naona hatufanani kifkira, kajibu noted vipi sasa kuhusu ile laki 3?

kwa style hii wanaume watatukimbia sana jamani wanawake wenzangu mapenzi kwanza pesa baadae.

Hahaha duh,hii ilishanitokea pia ila ilikuwa ni laki1,mtoto wa pande za kiboriloni KLM, btw kweli ni vizuri kuthamini kwnz mapenzi thn fweza iwe baadaye kwsbb nayo ni muhm,
 
Nipo ofisini,

Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya kwangu service 60,000 tu.

Sasa nimeamua kumpiga chini, jana nimemwambia naona tuvunje mahusiano yetu nitakupotezea muda naona hatufanani kifkira, kajibu noted vipi sasa kuhusu ile laki 3?

kwa style hii wanaume watatukimbia sana jamani wanawake wenzangu mapenzi kwanza pesa baadae.
Na kwa wale wajasilia-uchi je, ndio watoe bure ama?
 
ukiona
huombwi wewe ujue anao watano wanaotoa...
Pesa mbele kama tai. Pesa mi mpango mzima eti, huna kaa kushoto. Usione vyaelea

Asilimia kubwa ya wanawake ambao wanaamini katika kauli
za hivi ni wasioweza kujitegemea, wavivu wasiopenda majukumu. Hata umfungulie biashara ataifilisi kwa matumizi yasiyo ya lazima na mashosti, wanapenda kujikweza bila sababu, hawana uwezo wa kutulia na Mume ama Mpz mmoja, Maisha yao artificial san. Mwanamke mwenye maadili, alielelewa, anaejishughulisha,
msomi na ambae hajakata tamaa hawezi kuwa na mtazamo low kama huu! Ninao ushahidi!
 
Well said....... take it or leave it...
 
hahahahah sasa mkuu ukifanya kazi kutwa mzima utaondoka na stress nyumbani,kazi na dawa sometime unapumzisha akili kidogo
Ndiyo maana nataka nipate PS mrembo kama wewe niwe naondoa stress ndogo ndogo...
 
Back
Top Bottom