Mapenzi hayana dau mkuu maneno tu yatosha
Mapenzi hayana dau mkuu maneno tu yatosha
Ww unaombaga sh ngap?
aisee!M2 Anaenipenda Ni Dhahr Atathamin Mahtj Yng Ntaomb Kiwango Kinachostahl Kupewa Tena Kwa Sabb Maalum C Kukomexana!
no nono pesa kwanza mapenzi badae... dont do a mistake
Uchagga umekuzidia
hapana mkuuu mimi ujanizidi ntafuta hela
hivi hii ni kweli
Mtaji hapo ni nini? Maana hela hiyo ya bila mtaji wala sikupi
Basi muwe mnatulia pia kwa kna sie tusiomba omba hela
Hivi ulikuwa wapi siku zote? nipm nikupe zawadi yakoNipo ofisini,
Nawasikiliza staff wenzangu mmoja analalamika mwanamke anapenda pesa yule yani kila nikiongeanae yeye anaomba pesa tu, juzi kaniomba laki 3 eti anataka kupeleka gari service ata ya kwangu service 60,000 tu.
Sasa nimeamua kumpiga chini, jana nimemwambia naona tuvunje mahusiano yetu nitakupotezea muda naona hatufanani kifkira, kajibu noted vipi sasa kuhusu ile laki 3?
kwa style hii wanaume watatukimbia sana jamani wanawake wenzangu mapenzi kwanza pesa baadae.