Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Lol,kweli shetani Hana kitu cha bure,uzinzi uzinzi tu kila kona sijui Kwa nini msifunge ndoa once and for all
 
badiebey hakusema hayo maneno, aliyesema hivyo ni lara 1 mkuu.

Kaka, subiri badiebey aje athubitishe hapa! Nakumbuka sana maneno yake. Alisema ati amekuwa mtiifu sana, haombi pesa wala kuchuna akidhani hayo ndo mapenzi bora, kumbe mwisho wa siku anakutana na magumegume tu...ndio akaamua kueakamua vijana...sijui alifanikiwaaaa!!
 
Last edited by a moderator:
Ni bora niendelee kukaa hivi hivi nikiwa single kuliko kuwa na mwanamke au mchumba anayependapenda hela tu maana mchumba au mke kama huyo tutagombana nae kila siku mbona.NA NYIE WANAWAKE MUME MNAJIHESHIMU KUNAWENGINE MNAPENDA KUHONGWA KWELI HAMJUI KUWA VIHELA HIVYO HUWA TUNAMATUMIZI NAYO MENGI MUHIMU .JIREKEBISHENI

hahahahhah NDO MAANA UJAPATA MCHUMBA HAHAHAHA
 
Hahahahaaaa duuuh! Empty pocket has no right to erection. Hii kubwa kuliko

uwezi amini alionitumia hiyo picha ni mtu ninaemuheshim sana aisee nilicheka lakini pia nilihuzunika maana ake kila kitu kimeingia kwenye mfumo wa capitalist had papuchi??
 
Iko hivi
 

Attachments

  • 1399700597463.jpg
    1399700597463.jpg
    35.6 KB · Views: 80
uwezi amini alionitumia hiyo picha ni mtu ninaemuheshim sana aisee nilicheka lakini pia nilihuzunika maana ake kila kitu kimeingia kwenye mfumo wa capitalist had papuchi??

Hii kali kwa kweli
 
Kaka, subiri badiebey aje athubitishe hapa! Nakumbuka sana maneno yake. Alisema ati amekuwa mtiifu sana, haombi pesa wala kuchuna akidhani hayo ndo mapenzi bora, kumbe mwisho wa siku anakutana na magumegume tu...ndio akaamua kueakamua vijana...sijui alifanikiwaaaa!!

my bro,acha yani hii kazi ni shidaa...acha niishie tu hapo kwa leo,mana nna stress yani
 
Last edited by a moderator:
my bro,acha yani hii kazi ni shidaa...acha niishie tu hapo kwa leo,mana nna stress yani

pole kwa stress mdogo wangu, ila kwa faida ya Arushaone ungefunguka kidogo tu ajue kuwa umebadilisha mtizamo wako kuhusu wanaume na jinsi ya kuishi nao!!
 
Last edited by a moderator:
Lol,kweli shetani Hana kitu cha bure,uzinzi uzinzi tu kila kona sijui Kwa nini msifunge ndoa once and for all

Mkuu weacha tu! Waliozoea Michepuko hata waoe/walolewe na ukabandika andiko la Nimeolewa/Nimeoa usoni hawaachi .Na mbaya zaidi kudai mihela mara hiki mara kile ndiyo usiombe na yote katika harakati ya kuhonga/kujipamba na mengineyo.
Kwa wanaume wanasahau na nyumba zao.
 
Back
Top Bottom