Vipi sasa kuhusu ile laki 3

Mwanzo ulijib=vimbisha kama unazo sana pesa,sasa ndo wakati wa kuzitoa hizo pesa,usipo toa anamwambia B mana wewe n kwanza kwenye list
 
Wala hawapaswi kuomba hela, wenzao wanaojua "mjini msingi kiuno" ndiyo nini wanapewa tu bila kuomba. Chezea kuachwa wewe wakati jana nimepewa mambo yoote nusura nichanganyikiwe...
Yaaani jamani kuna wanawake wanajua mapenzi mmmhhhh...yaani akikupigia simu hata kama upo kazini unawaza unaibiwa tu, unashtukia umemtumia laki moja ya teksi aje mjini mkutane kwa Luch ili tu ujirdhishe kuwa yuko peke yake.
 
aaahahhaaahaaaaa vip kuhusu ile laki tatu????????????????? mimi ngekuwa mwanaume daaaaa sijui yan
 
Mwambie ani PM niko Bungeni,laki 3 kitu gani bhana!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Wa malizane kwa amani kwa kulipana madeni madogo madogo wanawake wamejichomoa mishipa ya aibu siku hizi
 
Halafu wewe ningekuwa bosi wako lazima ningekubadilisha nafasi uwe PS wangu, maana hufanyi kazi kutwa nzima unasikiliza umbea wa wenzako tu...
 
Halafu wewe ningekuwa bosi wako lazima ningekubadilisha nafasi uwe PS wangu, maana hufanyi kazi kutwa nzima unasikiliza umbea wa wenzako tu...

hahahahah sasa mkuu ukifanya kazi kutwa mzima utaondoka na stress nyumbani,kazi na dawa sometime unapumzisha akili kidogo
 
wanaume wabahili tutafute tu zetu mamii

niombee mchakatoo uwende poa pics wamekubali
Ringieni ujana ndiyo wakati wenu huu, tutawapa hata uzeeni mtakapokuja omba hela ya ugoro....
 

Attachments

  • mwafrika aoa kibibi Ulaya.jpg
    mwafrika aoa kibibi Ulaya.jpg
    18.2 KB · Views: 89
Back
Top Bottom