Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Ni rahisi sana kukubaini kuwa wewe ndiye Afande mwenyewe japo umetumia nafsi ya tatu. Anyway nahisi itakuwa tayari maana naona wenzako wanapitapita wamechangamka na muda wa kazi bado.

Habari za kiabakari.
Aaaah umenikumbusha mbali saaaana mkubwa. Kiabakari long time kidogo. Nimepamiss kishenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom