Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,594
- 10,659
Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Ni rahisi sana kukubaini kuwa wewe ndiye Afande mwenyewe japo umetumia nafsi ya tatu. Anyway nahisi itakuwa tayari maana naona wenzako wanapitapita wamechangamka na muda wa kazi bado.Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
😀😀😀😀😀😀😛😛😛😛😛Ni rahisi sana kukubaini kuwa wewe ndiye Afande mwenyewe japo umetumia nafsi ya tatu. Anyway nahisi itakuwa tayari maana naona wenzako wanapitapita wamechangamka na muda wa kazi bado.
Habari za kiabakari.
Ukitoka utajua tu maana kuanzia mwezi Julai, 2017 watumishi wote wa umma wanapata mshahara kwa siku mojaKuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Ndio nini kunianika huku??? Deni lako sikulipi ng'o.Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Njoo Great park ww acha kunywa uchochoronitayari mkuu... niko hapa Baracuda beach napiga za barrrridiii... tangu saa 6