kanuga
JF-Expert Member
- Apr 13, 2014
- 743
- 1,309
Mkuu kwa nini usingesema mtu badala ya "afande", ila mi sio afande mkuuKuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Alitaka maafande wa react kuwa umetoka! yawezekana na yeye ni afande hivyo anaulizia kijanja janja, hahahahahahaaahahaMkuu kwa nini usingesema mtu badala ya "afande", ila mi sio afande mkuu
Wee kanuga, acha hizo utatufanya tukimbilie kwenye ATM bila kuvaa nguo za ndani maana itakuwa si kwa haraka hizo hahahahahaahha
Kibitiumetoka wapi?
hahahaahh, Askari Muoga tehe tehe tehe au ndie wewe mleta uzi anakudai?mshahara umetoka angalieni nmb mobile *150*66#
siwezi daiwa vijihela vya kiwihahahaahh, Askari Muoga tehe tehe tehe au ndie wewe mleta uzi anakudai?
acha utani hakuna cha mshahara wala nini!!!!mshahara umetoka angalieni nmb mobile *150*66#
hahahaha, unataka udaiwe za BOMBADIA hahahahaahsiwezi daiwa vijihela vya kiwi
sisi walinda nchi kwanzaacha utani hakuna cha mshahara wala nini!!!!
Jamani kweli?kwangu tayari..... NMB Mobile *150*66#
Kujishuku,hajataja mtuNdio nini kunianika huku??? Deni lako sikulipi ng'o.