Msukumakizazi
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 2,599
- 2,100
Namimi nasubiri jibu kwa shauku kubwa.
[emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Mshahara wa mwezi huu wanaenda kulipa deni la Bimbadia....
acha dharau mshahara muhimu wwKutegemea mshahara pekee tena kwa mwanaume sio jambo la kujivunia.
Unamsingizia afandeKuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Wapi nimesema mshahara sio muhimu.
We we c mtumishi mada hii haikuhusuKumbe mishahara yenu haifiki hata mwisho wa mwezi,Kumbe mna ujanja tu wa bure
wacha kututia presha wewe!!!Mshahara wa mwezi huu wanaenda kulipa deni la Bimbadia....
Ipo kweli lakini tusubili hadi awamu ya sitaNaskia kuna nyongeza ya asilimia kumi na nane sijuhi ni kweli au uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahahahaahahaView attachment 571694
Pambana na hali yako KIDUME[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
May Allah bless Me and You
Mi nimejitoa vyama vya wafanyakazi