Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Mawazo ya kimasikini haya.

Nani kakukataza kuwa mjasiliamali?
Mimi ni mjasiriamali,tena mzuri sana! Ila na imagine situation ambapo JPM anahitaji kuanzia asubuhi saa moja na nusu mpaka saa tisa na nusu uwepo ofisini!Ujasiriamali utaufanyaje efficiently?An on and off scenario where you can practise some entrepreneurship ilikuwa possible kwa Kikwete,sio kwa Magufuli mkuu.
 
Ni rahisi sana kukubaini kuwa wewe ndiye Afande mwenyewe japo umetumia nafsi ya tatu. Anyway nahisi itakuwa tayari maana naona wenzako wanapitapita wamechangamka na muda wa kazi bado.

Habari za kiabakari.
Umempatia sana
 
Back
Top Bottom