Labda mchana au jioni wataweka
Labda mchana au jioni wataweka
Hahha Kibwenzi utafanya watu watoke nduki kupanga mstari kwenye ATMs zao........... subiria kichapo.
Hamna afande mwenye Njaa Tz hiiKuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]UNAWAZA VIPI MSHAHARA WAKATI TUNAWAZA KUUTUMIA KUKOMBOLEA NDEGE YETU ILIYOKAMATWA.
Hahahahahaha!Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Peleka polisi ndugu huwez jua labda amedhurika haya we kaa navyoVitambulisho vya Ndg. LUSAMBI TUBONWA ENEZA Vimeokotwa piga 0714-093839 usipige kama siyo muhusika tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitaghapa kuna ATM?
Vumilia, mwisho wa mwezi bado, zimebaki siku 9 mwezi uishe hivyo hutakufa njaa, vumilia tu, tumia vizuri akiba yako uliyonayoAisee tutakufa
😀😀😀😎Vumilia, mwisho wa mwezi bado, zimebaki siku 9 mwezi uishe hivyo hutakufa njaa, vumilia tu, tumia vizuri akiba yako uliyonayo