King66
Senior Member
- Aug 12, 2017
- 117
- 141
Tunarekebisha grade na increment, msiwe na papara mambo mazuri yanakuja..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Na asipo kupa?Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Sawa nkoiBado haujatoka nkoi, bado kabisaa. nasema ukweli sio utani wa JF
Acha utani na maisha hapa siyo Fb huku ni watu wazima jiheshimuTayari
Haya,siku nikiwa Makangaga ntakwambia huwa nakuja sana huko.
Unataka mwenzio atumbuliwe nini,atatumikia vipi mabwana wawili.Enzi ya Magufuli hii,sio ya Kikwete.Punguza njaa tafuta kazi za pembeni
Unaweza niambia baba yako nijiheshimu !!!
Ngoja kwanza tulipie bombadier, mshahara wa mwezi huu utatoka sepetember 17.Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Mnatoa ya mwenzako au nawe akaunti yako itakuwa vizuri.. Nyoosha maelezo wasije wakakuacha bureWakitoa mnipitie twende tukatoe@
Mnatoa ya mwenzako au nawe akaunti yako itakuwa vizuri.. Nyoosha maelezo wasije wakakuacha bure