MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,052
- 749
mkuu hii avatar ni yako,?
mkuu hii avatar ni yako,?
n0 r0se with0ut th0rn
leo ni siku ya mwisho wa mwezi ipi salary bado ipo?
HongereniThank magu.. Mshahara umetoka mapemaaaaaaa nipo mapoziiii hapa Napiga zangu balimi
hahahahahhahh ngoja nimuite huyu hapa aseme neno kidogo Askari MuogaThank magu.. Mshahara umetoka mapemaaaaaaa nipo mapoziiii hapa Napiga zangu balimi
Duh...!!Thank magu.. Mshahara umetoka mapemaaaaaaa nipo mapoziiii hapa Napiga zangu balimi
HahahahNaskia kuna nyongeza ya asilimia kumi na nane sijuhi ni kweli au uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vile vivutio vya utalii bado vipo GP?Njoo Great park ww acha kunywa uchochoroni