BILGERT
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 6,532
- 11,029
wameniingizia muda mfup uliopita mkuuMkuu kuwa na subra ikifika mpaka kesho jion ujaingia ndiyo uwe na wasi wasi
Sent using Jamii Forums mobile app
wameniingizia muda mfup uliopita mkuuMkuu kuwa na subra ikifika mpaka kesho jion ujaingia ndiyo uwe na wasi wasi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeshafika CCM hapo? [emoji23]hahaa,post zako niwewah kuziona mkuu.halaf isitoshe mimi home ni hapahapa,maeneo ya mkwawa.ila kikazi nipo dodoma.hivo hapa ccm ama luxury pako poa saaana kuondoa stress hasa siku kama ya leo,maana tunasindikizwa na live band
Haya now naona roho imetuliawameniingizia muda mfup uliopita mkuu
wanaingiza usiku !
nbc ?dah, aisee kitu tayari hadi NBC tokea saa kumi na mbili jion [emoji23] [emoji23] [emoji23]
aisee naona hazina mojakwamoja
n0 r0se with0ut th0rn
Bodi imeanza kwako mwezi huu??sie tushazoea ChiefBODI IMENIFYEKA BILA HURUMA WAKUU.CJUI NITAISHI VIPI.USEMI WAKUISHI KAMA SHETANI UMETIMIA KWANGU.
Noma mzee, hata huu mpunga ulioingia nimeshaukwangua wote.Teh,mzee mwenzang huwa unakomba kila kitu kama mimi eenhe
Kwa nini hahahaah
Ni kweli au ni mboyoyo
Hakuna nyongeza. Watumishi wafanye kazi kwa moyo wa uzalendo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mmeongezewa chochote wakuu...?
Hahaa,kwenye sa tatu tatu hv mkuu.ntakuwa hapo..maana ndo mida yenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Umeshafika CCM hapo? [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa,pole saana mkuuNoma mzee, hata huu mpunga ulioingia nimeshaukwangua wote.