Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
ha ha haMpaka muda huu saa 13:26 "salio lako halitoshelezi"
ha ha haMpaka muda huu saa 13:26 "salio lako halitoshelezi"
😀😀😀😀😛😛😛😛😛😛😛Nasikia wameanza kuingiza kwa wale wenye njaa kwanza alafu wengie baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kweliwalinda nchi imesoma
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhmmmmmmmmmmmmmmmmm
Nanjilinji ipo LINDI wilaya ya Kilwa sio NTWARAMshahara tunatoa kialifapet za mkoa
Yaan
Arusha
Dar
Iringa
.
.
.
Km wewe upo nanjilinji mtwara subur wiki ijayo ijummaa[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji111]
mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
Wewe hina hata ajira kwanza peleka upuuzi wako mbaliUNAWAZA VIPI MSHAHARA WAKATI TUNAWAZA KUUTUMIA KUKOMBOLEA NDEGE YETU ILIYOKAMATWA.
Swali kwa waajiriwa hilo toweni siri kama umetoka mnaodaiwa mlipe
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh,mzee mwenzang huwa unakomba kila kitu kama mimi eenheMpaka muda huu saa 13:26 "salio lako halitoshelezi"
hatimaye wamebana wameachia ,kama mpaka sasa hujapata juwa wewe ni hewaTeh,mzee mwenzang huwa unakomba kila kitu kama mimi eenhe
sawa.hatimaye wamebana wameachia ,kama mpaka sasa hujapata juwa wewe ni hewa
du!ACHENI UTANI BASI WAKUU...tujaribu kuwa serious hii ni sensitive case! mm mpaka salio la NMB Mobile limekata sbb ya kuchuzwa