Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Hivi sisi great thinkers pia tuna njaa hivi?
Duh nilikuwa cjui kumbe na ww unajihesabu great thinker kweli wonders shall never endHivi sisi great thinkers pia tuna njaa hivi?
Hahaa,tuonane CCM hapa iringa mkuu.maana nipo pande zenu leo
Wanafaa kua watumishi wa nani?Hivi kama umeingia saa nane unasoma moja kwa moja??
Halafu huwa kuna bachi hawaweki kwa pamoja
mbona watu mna njaa hivi??
masaa 4 tu mmeshaleta kelele!!!
hamfai kuwa watumishi wa serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio utajua sasa kuanzia leo, wewe bado mtoto mama yako anajua muulizeDuh nilikuwa cjui kumbe na ww unajihesabu great thinker kweli wonders shall never end
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahahahhahh, Sema ukweli Mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]Hahaa,tuonane CCM hapa iringa mkuu.maana nipo pande zenu leo
Jibu lako linaonyesha una elimu lkn c great thinker we na lissu mnafanana akili zenuNdio utajua sasa kuanzia leo, wewe bado mtoto mama yako anajua muulize
hahaa,post zako niwewah kuziona mkuu.halaf isitoshe mimi home ni hapahapa,maeneo ya mkwawa.ila kikazi nipo dodoma.hivo hapa ccm ama luxury pako poa saaana kuondoa stress hasa siku kama ya leo,maana tunasindikizwa na live bandHahahaahahahhahh, Sema ukweli Mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
Umejuaje nipo Iringa?
Sent using Jamii Forums mobile app
tayar mkuu,njoo upate angalau balimi mbili tu