Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

hahaa,post zako niwewah kuziona mkuu.halaf isitoshe mimi home ni hapahapa,maeneo ya mkwawa.ila kikazi nipo dodoma.hivo hapa ccm ama luxury pako poa saaana kuondoa stress hasa siku kama ya leo,maana tunasindikizwa na live band
Nicheki basi tufahamiane mkuu.... Nipo hapa meza imetapikaaa!!

Ukipata tumia, ukikosa jutia... [emoji62] [emoji62] [emoji62]
. naskitika watoto wa Rucu na Muce siwaon

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicheki basi tufahamiane mkuu.... Nipo hapa meza imetapikaaa!!

Ukipata tumia, ukikosa jutia... [emoji62] [emoji62] [emoji62]
. naskitika watoto wa Rucu na Muce siwaon

Sent using Jamii Forums mobile app
wapo field 1st Year na 2 Year.3 year wamemaliza.Mkuu nilisoma hapo na Club 255 ndo club mama hapo.Nlikua napenda statehe Chief.Dah nategemea kurudi tena mwakani kupiga Masters.Napenda hali ya hewa ya hapo.Nimewakumbuka mdm wangu Wa Enzi hizo.Mitaa ya Ruaha,Mikumi Bar,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4b768c3de8d7f79d8efad3416e78ba1b.jpg
Muce hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom