Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Hahaa,kwenye sa tatu tatu hv mkuu.ntakuwa hapo..maana ndo mida yenyewe
Mkuu hadi umenifanya nikuulize swali...wewe ni BANK Gani?
Maana walioingiziwa wengi ni NMB,Baclays na NBC....Sijui CRDB BADO?
 
Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.
Bank nyingine Tofauti na NMB na NBC Wamepata? kama Bank kuu ndo wanaachia kwa system moja...inakuwaje watu wanapata kwa mafungu?Au fedha zinaenda kwanza bank husika ndo wanaingiza? Mwenye kujua aje atujuze how it works,CRDB,STANBIC,STANDARD CHARTERED ETC WAO HAWAINGIZIWI MOJA KWA MOJA TOKA BOT?
 
tumelala
 
Back
Top Bottom