Tukishakutana tunafanya nini sasa??
Tunapanga maandamano..teh. Ila tuhakikishe tumebeba mkojo kabisa.
Tukishakutana tunafanya nini sasa??
hahaa,mwezi uliopita mimi nilipata mapema.jamaa wakawa wanalalamika nkawa nawachukulia easy.naona mwez huu ni zamu yangu
Hatuwezi kukutana ngoja kwanza mshahara wako uingie.nani anapenda kusikiliza matatizo yakoHabari ya jioni wakuu,inasemekana mshahara umeingizwa tangu sa nane.lakini kwa masikitiko makubwa saana kuna baadhi ya watumishi mpka muda huu nikiwemo mimi,hatujaingiziwa mshahara.je,tatizo ni nini hasa?
Nawasilisha.
NOTE.Mimi ni mtumishi halali,sina ufeki wowote wala sio mtumishi hewa,na mwezi uliopita nilipata mshahara wangu mapema saana.
hahaa,kwa mafungu kivip mkuu.sijakuelewa,mshahara wa magufuli unaingia kwa mafungu! kama mafungu ya nyanya subiri utaingia
huhahaa,kwa mafungu kivip mkuu.sijakuelewa,
sawa mkuu.ina maana wenda mpka kesho mida ya sa tisa inawezekana tukawa tumepata.maana inasemekana wameaanza kuingiza leo sa tisahu
kule bank huwa wanaweka pesa kwa mida tofauti tofauti bt ndani ya siku 1 wote huwa tayari wanapata
Mkuu kwani wewe kwako walikuwa hawajaanza?BODI IMENIFYEKA BILA HURUMA WAKUU.CJUI NITAISHI VIPI.USEMI WAKUISHI KAMA SHETANI UMETIMIA KWANGU.
Jamaa wameniingizia now mkuu,njoo tupate balimihu
kule bank huwa wanaweka pesa kwa mida tofauti tofauti bt ndani ya siku 1 wote huwa tayari wanapata
cheki tena salio Mamy K,mimi wameniingizia sasa hivMwenyewe uliingia mapema last month, labda wanaingiza kwa descending order.
Sasa mkutane mfanye nini?
cheki tena salio Mamy K,mimi wameniingizia sasa hiv
Hahaa,njoo bana mbiti.tupate angalau balimi moja moja.nilirushwa saana roho baada ya kuona account haisomi.kila nikiuliza salio,naambiwa kuwa halitoshelezinataman kuja pm sasa !hhahaha kidding bwana
Hahaa,njoo bana mbiti.tupate angalau balimi moja moja.nilirushwa saana roho baada ya kuona account haisomi.kila nikiuliza salio,naambiwa kuwa halitoshelezi