ujue tulizoea unaingia kwa pamoja.
Yamekuaje mamy k
Fala wewe..ni mitazamo tu usijenge chuki
Daah,sasa ambao tumekosa shida iko wapAiseee hata kwangu bila bila ila nasikia kua ukiingia unatumiwa SMS
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamy K na wewe hujaingiziwa? tuvute subira wenda wakatuwekea keshoAcha tu, mshahara wenyewe Mdogo, kuutoa pia shida.
Mkuu siyo hamfai ni haki yetu kisheriaHivi kama umeingia saa nane unasoma moja kwa moja??
Halafu huwa kuna bachi hawaweki kwa pamoja
mbona watu mna njaa hivi??
masaa 4 tu mmeshaleta kelele!!!
hamfai kuwa watumishi wa serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Fala wewe..
BODI IMENIFYEKA BILA HURUMA WAKUU.CJUI NITAISHI VIPI.USEMI WAKUISHI KAMA SHETANI UMETIMIA KWANGU.
Basis tufukuze utumishi Mkuu,Hivi kama umeingia saa nane unasoma moja kwa moja??
Halafu huwa kuna bachi hawaweki kwa pamoja
mbona watu mna njaa hivi??
masaa 4 tu mmeshaleta kelele!!!
hamfai kuwa watumishi wa serikali
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukishakutana tunafanya nini sasa??Habari ya jioni wakuu,inasemekana mshahara umeingizwa tangu sa nane.lakini kwa masikitiko makubwa saana kuna baadhi ya watumishi mpka muda huu nikiwemo mimi,hatujaingiziwa mshahara.je,tatizo ni nini hasa?
Nawasilisha.
NOTE.Mimi ni mtumishi halali,sina ufeki wowote wala sio mtumishi hewa,na mwezi uliopita nilipata mshahara wangu mapema saana.
Labda ilikuwa. Now nimeuona live.hahaa,shida ni nn mkuu.au ndo wanaingiza taratibu
mkuu,baadh ya wanao chukulia nmb wamesha ingiziwa.sijui tatzo ni nini wengine,japo nachukulia nmb piaYan upuuz mtupu bora wangeacha kama zaman tu jamani tulkua tunaanza nmb sasa cku hz had nmb holaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamy K na wewe hujaingiziwa? tuvute subira wenda wakatuwekea kesho
hahaa,mwezi uliopita mimi nilipata mapema.jamaa wakawa wanalalamika nkawa nawachukulia easy.naona mwez huu ni zamu yanguNasubiri tu ndugu, hamna namna. Ila huko BOT Mungu anawaona si kwa kutesana huku