Hizi chuma nazikubali sana,Ukiachana na comfortability zina eco mode na Sport mode inayoongeza performance ya gari incase unahitaji engine ikupe nguvu.Wataalamu, Kuna hizi gari NISSAN XTRAIL-HYBRID zimeongezeka sana hapa mjini. ni gari SUV nzuri sana kwa kuzitazama lakini vipi kuhusu ufanisi na uimara wake ukilinganisha na SUV zingine?View attachment 3139601