Vipi ile sruali aliyovaa JK?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vipi ile sruali aliyovaa JK?!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by utiyansanga, Nov 8, 2010.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  HV MAFUNDI WA RAIS HAWAJUI SAIZI YA KIUNO CHA JK!MBONA KILA WAKATI ALIKUWA ANAIPANDISHA PALE ALIPOKUWA ANAAIPISWA ,AU KULE ANAKONUNUA WAMESAHAU SAIZI YAKE ,AU ILIKUWA TU MANJINJO YA KUPEWA URAIS!KAMA AMBAVYO ALIKUWA ANAFUNGUA NA KUFUNGA VIFUNGO VYA KOTIKA kwa sababu ya joto.....!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Anaeweza adiscuss hii!
   
 3. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #3
  Nov 8, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa suruwali zinampyaya...uuwiiiiiiiiiiiiiiii..mnanichekesha nyie wajukuu wana mapka basi
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Simo
   
 5. n

  notradamme JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,015
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  you will make a very good TABLOID MAGAZINE reporter,damn!!! do you think any great thinker can fall on this cheap trap???????????
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aahahahaha!
  na miye ngoja nikae pembeni.
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Mwenzenu aumwa na afya yake yazidi kudhoofu siku hata siku.....bahati mbaya hata kinachomsumbua hayupo tayari kutuelezea hata tuweze kumshauri.......Alipoanguka viwanja vya jangwani Makamba alituomba tumwombee..............lakini utamwombea mtu ambaye hujui hata unamwombea kitu gani???????????????????????..........
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Ilikuwa ni hali ya kutojiamini, si unajuwa anaelewa ukweli kuwa kwa kura halali zilizopigwa alishindwa kwa kishindo lakini kutokana na UCHAKACHUAJI NEC ikamtangaza kuwa mshindi alikuwa anaona kama yuko ndotoni.Mi nafikri makamishina wa NEC walikuwa wachezeshaji wazuri wa KARATA TATU enzi ya ujana wao.
   
 9. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #9
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ha ha ha ha
   
 10. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #10
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Usifurahi tuuu MWommbeee pia!!!
   
 11. F

  Fishyfish JF-Expert Member

  #11
  Nov 11, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lol
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Nov 11, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Mie nilishaona siku nyingi sana kuwa kakonda.

  Inabidi awahi haraka sana nje ya Tanzania kwa MAPUMZIKO..............

  View attachment 16769
   
 13. b

  bwanashamba Senior Member

  #13
  Nov 11, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Acheni porojo bwana kwani ile surual yakn ya makamu mbna zkn vzuri tu,
   
 14. k

  kijiichake JF-Expert Member

  #14
  Nov 15, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hapo nami sina ki2,lakini hiyo suruali alishona kabla ya kampeni hivyo kwa kuwa kampeni zilimchosha sana na kumkondesha ndo maana inayumba kiunoni mpeni pole.
   
 15. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Jamaa amekonda sana, kwa sababu ya kampeni ngumu!!
   
 16. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #16
  Nov 15, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jk Kakonda??:doh:
  :nono: mimi simo
   
 17. muwaha

  muwaha JF-Expert Member

  #17
  Nov 15, 2010
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 743
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  fundi aliichakachua na ya mteja mwingine tehe tehe teh
   
 18. Captain Phillip

  Captain Phillip JF-Expert Member

  #18
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 900
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Aaaahh mambo ya udaku wadau tudiskas issues pliiz
   
 19. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #19
  Nov 15, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kampeni lazima ukonde
   
 20. J

  Jafar JF-Expert Member

  #20
  Nov 15, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kilo zimeanza kushuka, tunasubiri uchaguzi kabla ya 2013
   
Loading...