Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

Vipi huko chawa, mnakunywa amani?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
357
Reaction score
1,062
Nyie Vyawa, mnakunywa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili.

Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani, haya mnijuze mmemaliza kuchambia amani au mnatumia vumbi?

Jueni kwamba waandamanaji wanataka vitu kama hivi vya kukosa huduma za kijamii visiwepo, tuwe tunapata viongozi wenye upeo watakaojua kuwa kipaumbele cha kwanza ni kipi na si kujaza picha za kampeni nchi nzima kama wamepotea.

Na nini kifanyike kama kuweka akiba ya nyakati za ukame kama huu, vyanzo vya maji vilivyopo Tanzania tusingekuwa tunajibu maji hakuna kisa mvua chache, kwa nini wasitumie maji chumvi kuyageuza kuwa maji baridi, Kwa nini wasiweke akiba za maji kuvusha miezi ya kiangazi, chawa mjinga atajibu CCM haileti mvua.

Vipi amani yenu imewaletea maji wajinga nyie, hebu tambueni wanaopambania mabadiliko wanatafuta nchi bora kwetu wote mkiwemo na nyie msiojielewa, Bata nyie.

Najua vichwa panzi mtakuja! Karibuni, ila mje mtuelezee namna ya kutumia amani kama maji.
 
Nyie Vyawa, mnakunwa amani? Kuoga je? Kwanza hamuogi nyie maana ni wachafu wa mwili mpaka akili.

Watu wanaandamana mpate haki za kupata huduma bora bila kukosekana huduma na uwajibikaji pale mambo kama haya yanapotokea. Ila sababu mna vichwa tupu mnawaona wanaharibu amani nyie mnataka amani, haya mnijuze mmemaliza kuchambia amani au mnatumia vumbi?

Jueni kwamba waandamanaji wanataka vitu kama hivi vya kukosa huduma za kijamii visiwepo, tuwe tunapata viongozi wenye upeo watakaojua kuwa kipaumbele cha kwanza ni kipi na si kujaza picha za kampeni nchi nzima kama wamepotea.

Na nini kifanyike kama kuweka akiba ya nyakati za ukame kama huu, vyanzo vya maji vilivyopo Tanzania tusingekuwa tunajibu maji hakuna kisa mvua chache, kwa nini wasitumie maji chumvi kiyageuza kuwa maji baridi, Kwa nini wasiweke akiba za maji kuvusha miezi ya kiangani, chawa mjinga atajibu CCM haileti mvua.

Vipi amani yenu imewaletea maji wajinga nyie, hebu tambueni wanaopambania mabadiliko wanatafuta nchi bora kwetu wote mkiwemo na nyie msiojielewa, Bata nyie.

Najua vichwa panzi mtakuja karibuni ila mje mtuelezee namna ya kutumia amani kama maji
maCCM yatapita kwenye huu uzi kama wanaaga maiti vile!
 
wale alkasusu wanatawaza amani
 
Chawa wakaoge baharini
kwa miaka 64 hawajielewi

Badala ya kufikiria ubunifu hata gari eti
MAJI

Machawa woote ni mapimbi viazi bogus pumpikin heads!
 
Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Back
Top Bottom