Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

The bold mara nyingine nikiona simulizi zako huwa naweka pembeni uandishi wa masters thesis yangu mpaka nimalize kusoma ndio naendelea na kuandika. Keep it up!
 
I believe in, "better late than, never"

This is a Triumph Doc, Felicitations à Mon Grand Frère avec Ma Belle -Soeur, Nifah!!

Je Vous respectes, tout le temps!!
 
hi the bold, kaka kipepeo mweusi hapa kazini wote tumeishia episode ya nane ya tisa hatuioni tumepekua na hadi kupiga simu kwenye number ulizo weka hatukupati tafadhali tuh saidie yani office nzima ya watu takribani kumi naa tuna kusomaga hadi boss anatu mind na yeye kumbe mdau wakusoma kazi zako tusaidie tutumie link au hata story kama utaweza, kipepeo mweusi mkakati 034 episode ya 9-mwisho. kuna link ulitoaga inaonesha kwanzia 24 kama sijakosea hadi mwisho yani hapo kati kati hatujui kulikoni. alafu samahani the bold hi kipepeo mweusi mbona ina fanana na hali ya saivi inchi mwetu kwenye siasa,bungeni,acacia,wapinzani, yani nasoma alafu napata picha fulani au ni ya kweli.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom