Vipepeo weusi season 2: From Zurich with rules

Chief... Nimekupa Maelezo ya namna ya kuzipa... Umeona Maelezo yangu?
nime yaona hebu angalia screen shot yangu nichekie wapi labda na kwamia
 
Attachments

  • Capture.JPG
    Capture.JPG
    60.5 KB · Views: 172
nime yaona hebu angalia screen shot yangu nichekie wapi labda na kwamia
Duuuhh pole mkuu nilidhani unatumia app kwenye simu...

Kwa kuwa naona unatumia PC basi unapaswa uende kwenye namba ya post husika...

Unajua namna ya kutafuta comment husika?? Ukiangalia hapo nimeandika Episode 9 na kuendelea alafu mbele yake nimeweka namba??? Unafahamu unazipataje??
 
nime yaona vizuri tuko hapa tumechemka tuna jiuliza una tumia simu au pc, basi share a direct link mkuu tafadhali utakua umetuokoa hapa job
Episode 9 bofya hapa... Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Cheki kwenye comments sio post ya kwanza... Yaani bofya hii link nimeweka alafu perezi huo ukurasa comment ya katikati pale utaona Episode 9
 
nime yaona vizuri tuko hapa tumechemka tuna jiuliza una tumia simu au pc, basi share a direct link mkuu tafadhali utakua umetuokoa hapa job
Baada ya hapo unatakiwa uwe unaperuzi page kwa page utakutana na Episode nyingine 12 mpaka 24
 
hahahha watu weweeee officin hapa the bold, kumbe umbeiweka kati kati ya thread hizi sie tumezoe tuna chagua kwenye link nimeiona mkuu asante saana
 
Duuuhh pole mkuu nilidhani unatumia app kwenye simu...

Kwa kuwa naona unatumia PC basi unapaswa uende kwenye namba ya post husika...

Unajua namna ya kutafuta comment husika?? Ukiangalia hapo nimeandika Episode 9 na kuendelea alafu mbele yake nimeweka namba??? Unafahamu unazipataje??
mkuu nimesha fanikisha mie jamii forum natumia kwa pc tuh simu natumia windows phone sie apps nyingi tume baguliwa saana.
 
I like the story but hiyo mdada alotobolewa kwa kifua mpaka mapafuni na bado akamanage kuendesha gari na kuattend meeting atakuwa robot!!!

Wale wa field ya afya tulosoma Anatomy and physiology mtanielewa vizuri.
Kwanza; wewe ni mtumiaji mzoefu wa JamiiForums najiuliza kwa nini umefanya ubashite wa kuquote uzi mrefu hivi ukijua fika kuwa unasababisha usumbufu kwa watumiaji wa app kwenye simu...

Pili; unaonekana umesoma story juu juu bila kuelewa... Aliye chomwa na kipande cha mti kwenye kifua anaitwa Ilana Doria ambaye wakati gari inaondoka porini aliwekwa siti ya nyuma pamoja na bags... Aliyekuwa anendesha gari ni Giselle Jean Pierre (dada wa kinyarwanda) ambaye ndiyo muda wote walikuwa wanabishana na Ray na baadae wakasaidiana kumtibu dada wa kizungu (Ilana Daria).

Soma, elewa, Enjoy!!
 
Duh! Sorry brother, nimekosea.

Take it easy.

Itanibidi nisome nikiwa nimetulia, not in this hurry.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom