Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,857
Mkuu,kesho unashusha saa ngapi?
Mkuu,kesho unashusha saa ngapi?
Kushusha nini mkuu??
Huyu jamaa nimempa bonge la tusi la kimyakimyaMkuu umeamua kufanya hvi au hujui kama unatukera?
Nashukuru nilikuwa nimechanganyikiwa. Tunafwatilia.Poa.
Inatoka kesho jioni mkuu.
U siquote story yote mkuu wewe weka maoni yako tu.Iko poa sana hii mkuu
Peniela , ile ilikua hatari sana, ila mtunzi aliiharibu mwishoni kabisa. Bt all in all ilikua nzuri sanaMkuu The bold heshima yako naomba uwe unitag mimi ni mpenzi mkubwa wa habari kama hizi.Mara ya Mwisho kusoma story nzuri kama hii ni ile ya Penniela iliyoletwa na mkuu LEGE .Chondechonde the bold hakikisha unanitaggggggggggggggg!!!!!!!!!!!!!!!
Utatoa ngapi leo aisee?!Kesho jumamosi Mkuu..
Mkuu @ The bold.. Jmosi ndo hio ndugu yangu...lols.. Ebwana wacha nichukue fursa hii kukupongeza kwa dhati kabisa for your artistry katika utiririshaji wa simulizii hii.. kwa kweli kutueka kwenye suspense kila Mmoja akisubiri kwa hamu na kuchungulia saa zote kuona the Realese of the Next Episode is Talent in itself.. Big up bro..[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23]
Kabisa! Episode ya kesho yapasa kuitupia jioni jioni..
Au kama season ya NIKITA...Hii kama series ya 24hrs ya Jack Bauer, kila episode ni kali kuliko ya nyuma, nimeshakua teja [emoji382][emoji381][emoji377]
Nikita ipo vizuri sana. Huwezi amini 24 ninayo full lakini sina mzuka wa kuianza sijui kwa nini.Au kama season ya NIKITA...
Asante mkuu nitatafuta kimoja kimoja mkuuThe bold ananikumbusha riwaya za marehemu Elvis Musiba na Ben Mtobwa.
Ila kwa zama hizi yupo mkongwe Hussein Issa Tuwa, yeye anajiita bingwa wa riwaya za taharuki, yaani hapo msomaji unabaki na taharuki zisizosemeka. Mkipata nafasi tafuteni na msome riwaya zake kadhaa hamtajuta asee, nina dedicate kwenu vitabu hivi ambavyo nimeshavisoma tayari [emoji116]
1. Usiku wa 9/12 ( 1&2)
2. Mkimbizi
3. Mdunguaji
4. Mtuhumiwa.
Na pia story hizi sijui kama ameshatoa vitabu vyake [emoji116]
1. Miss Tanzania
2. Mtafiti
3. Bondia
Na sasa nipo mkao wa kula nasubiria kitabu kingine (kipo jikoni) kinaitwa "Kilio cha gaidi"
Ni hatari sana aisee.