johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
doh, kumbe hicho ni tusi?unanitukana ehtiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
doh, kumbe hicho ni tusi?unanitukana ehtiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
shem nimependa signature yakoNdio maana nakupenda
Naam...sasa iko njema![]()
Ndiodoh, kumbe hicho ni tusi?
Ebhanaaaa eheeeeeeh natamani barabara ifungwe kwa mda kama nusu saa niipitie yote mkuu make mida ya kutoka kugufurika ...anyway ntafikasiyo mtu wa mchezomchezo aiseee ni mzee wa kitengo tena inaonekana rank yake niya juu kiasi fulani hv
Hakika,shem nimependa signature yako
Smile,you don't own all the problems in the World
Shida kitu gani na tunaishi kwa dola moja

Asante mkuuHeshima yako mkuu na tulizo la moyo la The Bold….
Naomba umwambie mheshimiwa kama hatajari sana zile updates za Episodes pale page ya kwanza awe anaziandika kwa juu kabsa na sio kule chini maana tunaotumia simu tunapata tabu kidogo kuscroll mpaka kule chini ya Episode ya 1 kuangalia updates.
Wakuu,
Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..
Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;
Safi sana mkuu hii itaondoa fitina za watu ambao wanapenda kuunganisha dots na vitu vingine hata kama havihusiani..
Pamoja mkuu.Wakuu,
Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..
Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;
1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe
2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed
3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei
4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.
Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..
Samahani kwa usumbufu!
Shukarani..
pitia kijiweni kwetu uisome huku unashushia vitu mkuu 😀😀Ebhanaaaa eheeeeeeh natamani barabara ifungwe kwa mda kama nusu saa niipitie yote mkuu make mida ya kutoka kugufurika ...anyway ntafika
Nami wazo langu ni hilohilo.Hizi epsode nitaenda nazo bampa to bampa hadi ufike THE END, afu nitazicombine kisha nitasoma upya tena kwa kujinafasi.
Kijana umeeleweka ngoja nipigie vijana wangu warudi.Wakuu,
Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..
Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;
1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe
2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed
3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei
4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.
Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..
Samahani kwa usumbufu!
Shukarani..
Sitakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hakika,
Ukiisoma lazima utabasamu
Shida kitu gani na tunaishi kwa dola moja
![]()
![]()