mselambaya
Senior Member
- Jan 10, 2017
- 101
- 72
Bonge la simuliz
Nimesubirije PM sasaApana shemu hakuna haja ya namba ntamalizana nae kimyakimya pm
Kwakweli itabidi The bold aongeze scene kali za mahaba...Mie nilitamani nngekuwa mm ndo nimepakatiwa daaa hako kasehem hata mm kalinibamba na kunitia majaribun
Umeona eeenh,na humo ndo unakuta ile tunaita NICE MEMORIES,hata mkiachana ubakumbuka tu
Aaaaaaaah Nifah eeeh zisiwe nyingi,hii simulizi ni ya ki intelijensia,isipokua nimefurah msimulizi The bold amejaribu kuwaweka wahusika wengi VIJANA na changamoto zao za kileo za kimaisha kuanzia ajira na changamoto zake, mapenzi, na umuhim wa networks.Kwakweli itabidi The bold aongeze scene kali za mahaba...
Hakuna namna sasa
Sio kweli mkuuNimesubirije PM sasa
Kimyaaaaaa..
Sorry nilichungulia haraka haraka PMSio kweli mkuu
Asantee kama umekipokeaaa japoo kiduuchuuu ..Ila uzuri sio miongoni mwa wale maneno ya khanga ...Sorry nilichungulia haraka haraka PM
Shukrani sana Mkuu!
Ubarikiwe mpaka ushangae..
Kasema Leo haitafika saa saba Ila muda huu naona SAA saba kasoro let's wait labda anawezafanya kitu amazingHv leo c ndo j'5, au humu bado haijafika?
Mkuu JamiiForums naomba unisaidie tena kuweka link ya episode 5 pale mwanzoni page ya kwanza post # 1.. episode 5 iko hapo juu post # 1115Ombi limefanyiwa kazi mkuu..