Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Daaaaaamn nilivyokuwa nimejiandaa vizuri kujua Isaac ana taarifa gani!
Imeishia patamu kinoma,ngoja nisubiri tu muendelezo maana hamna namna.
Sio kwa kukaziwa huku [emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Mkuu The Bold, Asante sana, naendelea kuyasawiri mandhari ya Hometown kupitia mistari yako ya dhahabu. Be blessed
 
DAH!ndo nipo page ya 11,
na sijui hadithi imeendelezwa page gani!napanda mlima mpka nasikia kulia!DAH!
MSICHAT BASI JAMANi!
UUUUUWIH!
Ooohh pole!

Episode 2 ipo post # 282 (page ya 29)

Episode 3 ipo post # 655 (page ya 66)

And kuna link pale mwishoni post # 1 inayokupeleka kwenye page hizo kama ukitaka kufika fasta kwa kubofya tu!
 
Daaaaaamn nilivyokuwa nimejiandaa vizuri kujua Isaac ana taarifa gani!
Imeishia patamu kinoma,ngoja nisubiri tu muendelezo maana hamna namna.
Sio kwa kukaziwa huku [emoji24] [emoji24] [emoji24]
H[emoji15] hata ww? kwanini usitumie nguvu ya ushawishi ulionao? hv hujui kuwa osama alisalitiwa na mkewe?
Hebu imagine gaidi kama lile lakini lilikuwa fala tu kwa mama chanja wake [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,(jokes)
 
Ooohh pole!

Episode 2 ipo post # 282 (page ya 29)

Episode 3 ipo post # 655 (page ya 66)

And kuna link pale mwishoni post # 1 inayokupeleka kwenye page hizo kama ukitaka kufika fasta kwa kubofya tu!
The bold mbona nakilick hyo link ya episode ya tatu hainipeleki huko inarudi mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom