Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Aisee The Bold ubarikiwe sana...sasa ngoja nimfate Nifah wangu kitandani manake nahisi keshanuna..[emoji23][emoji23][emoji23]


Mungu atuweke kesho tena tujue kinagaubaga

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu umetisha kama hajakusoma hivi
 
Pole sana mkuu kwa kudukuliwa na ahsante kwa kisimamia na kuhakikisha watu wako tunapata kitu roho inataka... Naomba na mimi uwe unanitag mkuu
 
Yani wewe bora mimi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hakuna story ambayo haina family matters.
Toka huko .....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sema tu nimeshaisahau sahau nakumbuka nilikuwa std 4 my mom alikuwa anapenda kutusomea kila ijumaa , ila unayosema ww haiingiliani hata kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom