Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Hakuna kitu napiga kelele kama hicho,nimesema hadi basi.
Ila uzuri sio daily,anakula mara chache sana.
Huyu ni mzee wa dona kwa sato
Ndo nimeshangaa hata na mm badala arikwesti hela ya kiroba cha dona yy anataka chipisi yai, au pengine akiwa far from ndo msosi wake huo,
.... Kuna ka msemo kamoja ka mwanaume cijui wa dar kana nikera sana hata kama siambiwi mm
 
mkuu The bold yafaa nikuite 'kichwa' zaidi ya miez 13 natembelea majukwaa ya jf sikuwahi kuota nafukunyua Entertainment. nilipenda zaidi siasa, mchanganyiko, photo, ujasiriamali na matangazo madogo hadi nilipoona TRENDING. lkn pia ulinikosha kwenye makala za madawa ya kulevya. hakika nilipitwa na mengi. asante sana kwa kunirudisha kundini. cc. nifah
 
Huna lolote si ungeniamsha tu uone kama sitaamka,leo niko busy kinyama aiseee hata hadithi sijaisoma, ikiendelea ww nitag tu usikate tamaa nikitulia nitasoma, ahsante
    Ndoa tamu bibie shauri yako
Usijali mda wake nimeshaujua saa mbili mbili to tatu tatu nitakucheki,
 
mkuu The bold yafaa nikuite 'kichwa' zaidi ya miez 13 natembelea majukwaa ya jf sikuwahi kuota nafukunyua Entertainment. nilipenda zaidi siasa, mchanganyiko, photo, ujasiriamali na matangazo madogo hadi nilipoona TRENDING. lkn pia ulinikosha kwenye makala za madawa ya kulevya. hakika nilipitwa na mengi. asante sana kwa kunirudisha kundini. cc. nifah
OMG!Am proud of my man,hii ndio raha ya kuwa na Le Akili kubwaz mbebezzz u know
Hahahahahaaaaa and I love it
 
Shukrani sana Blaki Womani

Tuombe heri, that's the goal! Nichape kitabu kimoja this year

Mkuu kama ukipata muda pitia Novel za Robert Ludlum:

1. The Bourne Identity;
2. The Bourne Supremacy;
3. The Bourne Ultimatum; na
4. The Bourne Legacy.

Zina madini sana kwa hizi andishi zako mkuu, hutakosa kuongeza kitu nakuhakikishia.
 
Bwanaaabwanaaaah ...ila shemu anatupenda sana ukiona anaanza kuonekana ujue mzigo unashukaa soon
Dada kashanitonya muda wake ni 2 au 3 kasoro so kidogo imenisaidia kucontrol arosto yangu, nahangaika siasani na intelejensia mchana ikifika saa moja moja ndo natia maguu,
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mkuu kama ukipata muda pitia Novel za Robert Ludlum:

1. The Bourne Identity;
2. The Bourne Supremacy;
3. The Bourne Ultimatum; na
4. The Bourne Legacy.

Zina madini sana kwa hizi andishi zako mkuu, hutakosa kuongeza kitu nakuhakikishia.
Mwandishi wa Jason Bourne siyo?
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom