Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ooohh pole!

Episode 2 ipo post # 282 (page ya 29)

Episode 3 ipo post # 655 (page ya 66)

And kuna link pale mwishoni post # 1 inayokupeleka kwenye page hizo kama ukitaka kufika fasta kwa kubofya tu!
Nifah a BJ kwa shemela leo usiku sawa mdogo wangu!
hihihi hebu shika goti hilo watu tupate mastery!we ukicheketua zaidi sie huku rwahaaaaaaaaaaaaa!
The bold mwayego mi si unajua ni muumini wako wa kudumu!tasavali!uwe unaweka hizo updates hivo hivyo hapo page ya kwanza!
KWA STORY ZOTE PLS!
 
Huyo baba bite anazingua anazingua uwezo wake in mdogo maana anazinguliwa kidogo anaelekea nitaongea na the board wamtoe hafai
 
Dah bongo muvi waige hata hii concept jamani maana ina leta burudani kusoma
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Kama vp Isaac mwenyewe ndo mimi hapa unataka kujua nlipata taarifa gani na kwenye cm nimekuta nini teh teh subiri ndo namwambia The bold
hapa atawaambieni mda kidogo.
 
Respect mkuu The bold kama nawaona watu wanavyoshukwa na udenda hapa hadi natamani niforward muda hapa ila huyo shughuli anaiweza manan tuu. au niende future nikasome nini
 
Nifah a BJ kwa shemela leo usiku sawa mdogo wangu!
hihihi hebu shika goti hilo watu tupate mastery!we ukicheketua zaidi sie huku rwahaaaaaaaaaaaaa!
The bold mwayego mi si unajua ni muumini wako wa kudumu!tasavali!uwe unaweka hizo updates hivo hivyo hapo page ya kwanza!
KWA STORY ZOTE PLS!

Nimecheka hadi kichwa kinauma!
Nitafanya hivyo sis,count on me.
 
H hata ww? kwanini usitumie nguvu ya ushawishi ulionao? hv hujui kuwa osama alisalitiwa na mkewe?
Hebu imagine gaidi kama lile lakini lilikuwa fala tu kwa mama chanja wake ,(jokes)
Sijashindwa...basi tu.
Nikiamua kweli hata lisaa limoja mbali atazishusha zote PM hadi final episode.

Ngoja niendelee kuumia nanyi...
 
Sijashindwa...basi tu.
Nikiamua kweli hata lisaa limoja mbali atazishusha zote PM hadi final episode.

Ngoja niendelee kuumia nanyi...
Ebu amua tuone, fata ushauri wa mtoa mada hapo juu just BJ nina uhakika atashusha mpaka ep10, hasa ile ya kisosi na poda then unashuhulika na moja nyingne unamwambia utamalizia akituma hzo ep, uone kama hazijatiririka kama bomba la mvua, (jokes)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom