Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Aisee The Bold ubarikiwe sana...sasa ngoja nimfate Nifah wangu kitandani manake nahisi keshanuna..[emoji23][emoji23][emoji23]

Mungu atuweke kesho tena tujue kinagaubaga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Inshallah! Ila Nifah amenuna leo kutwa nzima niko na hii episode.. Nimeandika mara ya kwanza The Board wakaidukua! Ikabidi niandike upya.. Nimemdhulumu sana 'mda wake' leo.. [emoji17]

Hapa napanga pozi la kumbembeleza
 
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23] Pole sana kamanda!though you finally made it to your people...

Mimi nifah wangu inabidi niingie room kwa staili za kina Amitab barchan..
 
Anhaaaaaaaa kumbe ndio maana umenifanyia vileeeee.
Ila nashukuru kwa kuona kuwa ulinidhulumu muda wangu nawe baby.
Nimekusamehe [emoji8]
 
Umenikumbusha The bold juzi aliniimbia kuch kuch hotai nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe tumia hiyo mbinu mkuu,Nifah wako atacheka tu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ilibidi tu nifanye vile, sio kwa kununa kule.! Ungeweza kuniwekea 'mogomo' wiki nzima..

[emoji4] [emoji4] [emoji4] thank you hny.!
 
Umenikumbusha The bold juzi aliniimbia kuch kuch hotai nilicheka sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nawe tumia hiyo mbinu mkuu,Nifah wako atacheka tu.
Wathungu wanasema hiviiii:

Fall in love with the person who enjoy your madness and not an idiot who forces you to act normal

Sasa nifah wangu ameadapt huu msemo! She understands...

Naamini na wewe unaenjoy addiction ya The bold huku Jf...finally you will understand him..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom