Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Mkuu The Bold leo kwangu ni Jumapili tayari. Pressure inapanda. Hahaha. Siku njema na tunashukuru.
 
Naona the bold na nifah wamekuwa kama wale jamaa mla bata na demu wake wanavyo wa-attack watu hapo juu(joke)

Kwani kuna shida gan mtu kufanya assumption na kizuri zaid ushasema ni story ya kutunga.

Samahani lakini mi nasema tu maana nifah akija huko nitatafuta pa kutokea
 
Hatuwezi kumuattack mtu bila sababu bwana, relax.

#TheBold's
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom