Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #4,061
pamoja mkuu..Asante mkuu..
pamoja mkuu..Asante mkuu..
Unapajua nini?? kwa kijana Julius.. kitu cha makange ya pweza hahahahah
Wow! Ni rafiki yangu sana jamaa.. We go way back tangu vijana wadogo before hajaenda South Africa na U.SNaam napafaham n jamaa niliwahi kufanya kazi nae kwenye project zake za kampuni yake ya DARECHA. hahahaha
Na Mimi niongeze mkuuTayari mkuu nimeongeza jina lako sasa hivi.. tazama
Tayari mkuuNa Mimi niongeze mkuu
Duh.... we ndo unataka umuharibu the bold aanze kuleta news za kina kimambi na gwajima....The bold tafadhali isikie sauti yangu ndani ya masikio yako!
Niruhusu nisikie japo sauti maana utamu ndo nishaukosa hvyo!
i love you The bold,wewe ni the best!
utamu wa story hii unaonesha jinsi ulivyo.
Hahaaa upo pande zipi rafiki siku hizi?!Yaani huku nilishapasahau kabisaaaaaaaa
Tayari Mkuu nishafanya hivyo..The bold niongeze mseiya
Hahahah.! Now unaserebuka tu WhatsApp.. [emoji3]Yaani huku nilishapasahau kabisaaaaaaaa
Shukrani sana Mkuu..Nisiseme mengi mkuu, UNAJUA SANA KWENYE UWANJA HUU WA STORI
Pamoja sana Mkuu..Amani kwako The bold