Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #4,081
Hi..Hi Bold.
Hi..Hi Bold.
Ooooooooppssss nimeshusha pumzi baada ya kuona hujareply post fulani.Hi..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wii umenichekeshaaaaYaani huku nilishapasahau kabisaaaaaaaa
Dah, unaijua Darecha aiseee??Naam napafaham n jamaa niliwahi kufanya kazi nae kwenye project zake za kampuni yake ya DARECHA. hahahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ooooooooppssss nimeshusha pumzi baada ya kuona hujareply post fulani.
Nazidi kukupenda mwanaume,yani nakupenda sanaaaaa
Thank you for being mine love [emoji8]
Wow.! Kumbe business partners wa Julius mpo wengi humu..Dah, unaijua Darecha aiseee??
Nimewahi kufanya nao kazi aseee pale Sayansi Makumbusho
Pamoja sana Mkuu! Salute..
ha ha ha haaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ooooooooppssss nimeshusha pumzi baada ya kuona hujareply post fulani.
Nazidi kukupenda mwanaume,yani nakupenda sanaaaaa
Thank you for being mine love [emoji8]
unipe nusu na robo ya The bold.? akuu muite mwenye mali kampe inbox!Duh.... we ndo unataka umuharibu the bold aanze kuleta news za kina kimambi na gwajima....
Embu tulia kwanza au njooo inbox nikupe nusu na robo ya the bold.....
The bold unaaanza kutupa wasiwasi... unatugawa mashabiki braza...
Shem wako siwez mruhusu asome thread zaako..maana hali ishaanza kuwa tete dadek...
Njoo inbox wiser
Nakupenda zaidi hubby bae [emoji8]
Ni post no 3965Wakuu nisaidieni nataka kujua post ile ambayo ray yupo kwa chief wameenda kupewa idea ya Na mchoro wa benki yaani hapo ndipo nilipoishia
mh mjanja wewe umeanza kuomba sauti yake halafu baadae utataka na mwili wake.[emoji12] [emoji2] [emoji14] nifah chunga mali yako dada yangu maana wiser atakuzidi mawiser[emoji14] [emoji2] [emoji12]The bold tafadhali isikie sauti yangu ndani ya masikio yako!
Niruhusu nisikie japo sauti maana utamu ndo nishaukosa hvyo!
i love you The bold,wewe ni the best!
utamu wa story hii unaonesha jinsi ulivyo.
Kweli mai wiiii, mm nkiamka naangalia kule kwetu kuleeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wii umenichekeshaaaa