Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Naona hii story ipo slow sana huku sjui wap ipo faster sio kwa utamu huu Mkuu yaan inapofka pazur ww unakata sjui dah lkn poa Mkuu
 
Mbona kimya mwanadome?
Amani ilitawala kwa kipindi chote alichokuepo,alianza kuniuliza kama ni mmoja wa watumiaji wazuri wa mitandao ya kijamii nikamwambia sio mpenzi kiviile,hapo niliogopa nisije nikaulizwa naelewa nini kuhusu bashite .

Nilicho jifunza nikua koromije haikunyimwa vyotee,warembo wanaojua mambo ya adamu hawa wapo.kapicha amekataa nisimpige kisa anamuogopa kakake bashite aliye rudi mjini kwa kunyatiaaa
 
Una vituko sana mkuu.
Kiasi nakufananisha na MSAGA SUMU.

Kwahiyo mrembo kesharudi kwao Koromije au bado yupo town?
Kuwa makini mkuu maana kakake karudi japo anajikaza kiume.
 
Duuh.msa
ga sumu tenaa .

Yupoo badoo,natamani kumuuliza maana ye neno bashite ila nashindwa.na haka kamvua kaliko anza leo itakua poa kakiendelea wiki nzima mfululizo,maana mgeni nitapata sababu za kutomtembeza hapa mjini.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Ningekuwa mimi ndio wewe angesharudi Koromije maana nisingeweza kuvumilia kutokumuuliza kuhusu Bashite.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom