Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Taratibu zote zimekamilika japo kuna changamoto za hapa na pale ila hope kila kitu kitakua sawa,japo shemeji yangu bashite hajarudi mjini naamini hakutakua na shida,mkuu niombeee nisije nikamuuliza swali linalo husiana na vyeti vya kakake.😵😵😵😵😵😵
Jikaze mkuu,ukimuuliza suala la vyeti vya kaka yake hakika mtalala mzungu wa 4!
 
Staki ushabiki maandazi kaka kila mtu ana ufahamu wake wa kuchambua mambo so nina vigezo vingi vya kumpa U King the Bold hapa Tz so kama ujajua nasema nini hutojua pia nitasema nini
Mkuu mbona kama umekula foma gold ,soma nilichoandika na pia sijasema kiubaya,mambo ya ushabiki maandazi yametokea wapi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom