Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Stay Tuned ! Jumatano utajua hali ya Isaac tuu...Thanks mkuu..nimeisoma chap chap kwa kulukaluka maana nacho kihitaji sijakiona leo the bold kaamua kuamsha walio lala
Sijui isack aliko kwenda huko na kama alifwata na the board na kukuta sio ray nahisi nakofi ya uso aliyapa haswaa
Jamaa kaenjoya kabisaa
Huwa kupapasa matiti ya mwanamka mjamzito ni rahaaa kabisaa
Enjoy wakuu
