Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Eeeeh! Napita tuu hapaHapana aseee jombaa!...nampenda The bold,najua ipo siku ntakuwa wake!
The bold..........
Eeeeh! Napita tuu hapaHapana aseee jombaa!...nampenda The bold,najua ipo siku ntakuwa wake!
The bold..........
we pita tu mkuu!...penzi changa kwa Wengi HUNOGA haswaaa...ila kwa mie litanoga nikikaribia age ya NifahEeeeh! Napita tuu hapa
Jamaa kakopi kabisa situation ya hari yangu niliyonayo nowVipi mkuu? Umeona mambo ya Taulo ndogo eeh![]()
?![]()
Nimesoma hii post alafu nimekuonea huruma ghafla

wala hatujawahi kukosana me nawe sister nifah, but sipendi tu mkwaruzane ndio maana nikashauri the bold basi afanye kama mtume SAW alivyoagiza huko zamani.halafu nakumbuka mzee mwinyi alisema eti amefikia age aliyonayo kisa ana mke zaidi ya mmoja, sasa nifah ukitaka the bold umfaidi mpaka uzeeni mruhusu aoe wanne.Kwani mkuu nimewahi kukukosea nini jamani?
![]()
![]()
Sio kwa ushauri huu wa kuniangamiza.
Hahahaa! Mondray hunaga dogo mkuu! HahaaJamaa kakopi kabisa situation ya hari yangu niliyonayo now
Sasa mkuu the Bold si yuko occupied na Nifah...?we pita tu mkuu!...penzi changa kwa Wengi HUNOGA haswaaa...ila kwa mie litanoga nikikaribia age ya Nifah
Wana naoo..kumbe mapenz bado yapoAnd nitakupenda hivi mpaka siku tunaanza kutembea kwa mkongoja.. The only thing ambacho labda kitabadilika ni kukupenda.. Coz nitakupenda zaidi kila kukicha..
Because you are a unique type of a woman that's why you deserve to be given a unique love..
You have made me a better man than I could have never been on my own..
Nataman nikupe story ila ngoja Nipige ban tuHahahaa! Mondray hunaga dogo mkuu! Hahaa
Aaah! Nipe stori mkuu wacha hizo..Nataman nikupe story ila ngoja Nipige ban tu

Rudi post # 3791Uzi wa leo upo kudadek??
Post namba ngap??
Maana napita naona watu wanazungumzia mapenz tuu
Jamaan
Ndio nipo free nw nosaidie post namba ngapi kadondosha balaaa hilooo
Story ya siri hiyo siwez kuanika hapa mkuuAaah! Nipe stori mkuu wacha hizo..![]()
Aje tu kwangu maana wote tupo fungu la kukosaWiser1 hamuwezi Nifah! Tushakula hadi mahari ya The bold...!
Inabidi wiser1 awe wise kama jina lake...
Asikuachie..
Hahaaaa! Meku taratibu tuu mbeeninachoshukuru hii episode nimeisoma usiku maana daah, hizo taulo za guest zinanikumbusha mbali yaani hata kama demu mbaya akivaa tu ataonekana ana mvuto wa ajabu.
Hahahaha ila umeipendaHisia zilihama kidogo
Thanks mkuu..nimeisoma chap chap kwa kulukaluka maana nacho kihitaji sijakiona leo the bold kaamua kuamsha walio lalaRudi post # 3791