akipata maradhi kaamua mwenyewe tu. mi nampenda mumeweUtamsababishia Nifah maradhi we binti, humuonei huruma mwanamke mwenzio? Ana wivu balaa
akipata maradhi kaamua mwenyewe tu. mi nampenda mumeweUtamsababishia Nifah maradhi we binti, humuonei huruma mwanamke mwenzio? Ana wivu balaa
100 tu ndo unajigamba hv?...haya poa ngoja nimtafute mzizi mkavu na mshana jr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama yeye wapo kama 100 mkuu,mwambie akajipange upya [emoji4].
Asante kwa kuniruhusu!..Naiman hutokuja na kilio hapa![emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Endelea kumpenda mama,hugombwi.
hakuna lolote hapo! usugu haupogo kumoyo!Hahahahaa umeshakuwa sugu, hawakubabaishi....daadek!!!
Nilidhani utasema upige goti umuombe Mungu kumbe hao binadamu kama sisi?100 tu ndo unajigamba hv?...haya poa ngoja nimtafute mzizi mkavu na mshana jr[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
JF hii mwanamke pekee ambaye ana swag kama zangu ni Heaven Sent pekee.Safi sana Nifah, wamekujenga badala ya kukubomoa.
hahahahaha aisee!!JF hii mwanamke pekee ambaye ana swag kama zangu ni Heaven Sent pekee.
Huyu ndio tuseme akiamua anaweza kunikosesha usingizi kwa usiku mmoja,wengine wote ney ney [emoji57]
Ha ha ha ha ha haaaaa!..........ngoja tuone km ney ney kweli ama maneno tuNilidhani utasema upige goti umuombe Mungu kumbe hao binadamu kama sisi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa pigo hizi we are totally different my dear.
Kila la kheri mama.
hata siyo vita!...mie nampenda mumewe tu!......Hahaha naona umetangaza vita na Nifah, utamuweza?
akuuuuu hata! mie hatari sina....niliomba tu ridhaaa ya kumuona The bold, nkanyimwa!Aisee una hatari sana wiser1
Hahaha unaujua uchungu wa mume weye??akuuuuu hata! mie hatari sina....niliomba tu ridhaaa ya kumuona The bold, nkanyimwa!
sasa nikaona bora nifunguke tu kwa bibie Nifah!
Hahaha I call it "GODFIDENCE"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama yeye wapo kama 100 mkuu,mwambie akajipange upya [emoji4].
Mwanzo nilipata shida sana,sasa hivi nacheka tu maana najiamini kinoma.
#TheBoldIsMine#
Hakuna mkate mgumu mbele ya chaiMwanzo nilipata shida sana,sasa hivi nacheka tu maana najiamini kinoma.
#TheBoldIsMine#
Hahaha Le super twin, Imebidi tu nicheke. Aliyeturithisha hii "pride", nambariki sana. Kula raha mamaJF hii mwanamke pekee ambaye ana swag kama zangu ni Heaven Sent pekee.
Huyu ndio tuseme akiamua anaweza kunikosesha usingizi kwa usiku mmoja,wengine wote ney ney [emoji57]
Hahaha Le super twin, Imebidi tu nicheke. Aliyeturithisha hii "pride", nambariki sana. Kula raha mama
Btw nimepitwa mno na hii story, na imefika mbali uuuh
Hujachelewa sana, wiser1 anamtafuta ubaya Mrs. The bold kwa nguvuHahaha Le super twin, Imebidi tu nicheke. Aliyeturithisha hii "pride", nambariki sana. Kula raha mama
Btw nimepitwa mno na hii story, na imefika mbali uuuh
hapana simtafuti ubaya!....ni kwa nia njema "nimeshindwa kuficha hisia"
h ha ha ha haaaa...hii kauli imenikumbusha kitamboo!Hakuna mkate mgumu mbele ya chai