Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Kisu na wewe bhana! [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe ni ke au me?
Unauliza jibu badala ya kubold na ku-underline
Kisu na wewe bhana! [emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe ni ke au me?
Shimbony mbee?kwani mkuu the bold dini yako si inaruhusu kuoa wanne, hebu chukua wote hao yaani nifah, wiser1 na heaven sent ili kuondoa migogoro hii jamani. halafu kufanya hivyo ni sunna.
Hahahaaa! Picha na video nenda kule mtandaoni...kule kule unakopakuaga...[emoji23][emoji23][emoji23]Itakua na video+picha? Kama ni maandishi hayana shida.
Alikua anajua kua nipo kwenye list, ila kashaniweka. Tatizo ni kua notification hua hazifikiWewe mpaka leo hujawa tagged?
Wakati mwingine huwa notification hazifiki kabisa..! Kama vipi kaverify jina lako kwenye list pale
Kumbe upo mkuu?Maana huo mtamanisho sio wa nchi hii
Usipotee kihivyo mkuu!Yani nakufwaa for them aisee
Pole mkuu...! Wewe fuata ratiba tuu..!Alikua anajua kua nipo kwenye list, ila kashaniweka. Tatizo ni kua notification hua hazifiki
Kisu na wewe bhana! [emoji23][emoji23][emoji23]
Unauliza jibu badala ya kubold na ku-underline
The bold belongs to Nifah and Nifah alone period lol. Hapa hakuna cha 2nd best banakwani mkuu the bold dini yako si inaruhusu kuoa wanne, hebu chukua wote hao yaani nifah, wiser1 na heaven sent ili kuondoa migogoro hii jamani. halafu kufanya hivyo ni sunna.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ujumbe huu uwafikie;
Cheupe wangu Nifah
Heaven Sent
wiser1
Problem solved [emoji4]
Hahahaaa! Picha na video nenda kule mtandaoni...kule kule unakopakuaga...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nipoooo. Black woman sijui hata yuko wapi aiseeKumbe upo mkuu?
Usipotee kihivyo mkuu!
Nitafutieni Black woman..
Obvious ni ke!Kwahiyo ni ke?
Umenimiss?Sipendi mtu anayezunguka zunguka......lolKumbe upo mkuu?
Usipotee kihivyo mkuu!
Nitafutieni Black woman..
Hahahaaa! Yaani uone embe kwenye mti halafu huwezi kulila...! Si bora usione [emoji23]Ahaha unajua ni vizuri tukaona picha ya Cheupe na Veronica.
Umeoga msala wa cheupe maana kama nakuona ukiwa MOI na mguu wako uliovunjwa juu ya kitanda
See you are back now! Watu mnajichimbia tuuNipoooo. Black woman sijui hata yuko wapi aisee
Hahaaaaa! Ushaanza mbwembwe zako sasa? You are missedUmenimiss?Sipendi mtu anayezunguka zunguka......lol
Haha mbona nipo banaSee you are back now! Watu mnajichimbia tuu
Haha em niwache cheusi wa mtu banaUmeoga msala wa cheupe maana kama nakuona ukiwa MOI na mguu wako uliovunjwa juu ya kitanda
Uwe unakuwepo na huku mkuu! Manake kuna yale majukwaa yenu na Nifah.. mnashinda mule mule..Haha mbona nipo bana
Nyie watoto mna vituko sana aiseeWallah twin.
Tena ngoja nikumegee siri,hili jambo niliwahi kumuambia The bold that "Kama nisingekuwa mimi basi angefaa Heaven Sent" usidhani leo nimesema tu,noooope ni jambo la kweli na nilishalisema kwa muhusika kitamboooo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
You deserve it twin [emoji119] [emoji8]